Recent content by suanet

  1. S

    SUA nako wapo

    njoo jionee vipaji vya IT sua.
  2. S

    posho ya meals and accomodation huwa inalipwa?

    jiulize kwanza kama ni ruzuku au ni mkopo. kama ruzuku haulipi ila kama ni mkopo lazima uzilejeshe mkuu.
  3. S

    Exicutable code to setup

    Tayari nina executable codes but i what to change them into setup, what can i do guys?
  4. S

    help on better antivirus

    Sikushauri utumie hizo antivirus ni vyema ukatumia LINUX OS ya aina yoyote, kama vile UBUNTU,FEDORA,MEANT na nyingine nyingi, wala haziuzwi na ni bure kabisa, na haziwi affected by any virus ukitaka niambie ninayo fedora nitakutumia.
  5. S

    msaada

    jinsi ya kuweka program kwenye cd mpaka ikawa installed kwenye computer za watu wengine. Namaanisha kama nimeandika kwenye text pad na nika compile na nika run, lakini hii program yangu nataka niiweke kwenye computer ili itumike kwa kila mtu, na nisiandike program nyingine ya muundo huo...
  6. S

    help me please programmers.

    nimeshamaliza kuandika progam yangu, ila nataka niiweke kwenye cd ili watu wengine waweze kuinstall, nifenyeje? from the start to stop, please give the algolithim of that problem, thanks for your cooporation, together guys.
  7. S

    Maprograma wa Tanzania mupooo?

    kaka tupo? ila support hatuna utakuta wanafunzi wengi tunazijulia computers chuoni hii inatupa shida, utakuta mwanafunzi wa mwaka wa kwanza anashindwa hata program ya display "hello world" awe wa java hata c++ au language nyingine, kwa kweli tunahitaji tujitahidi sana, na sera ya elimu tanzania...
Back
Top Bottom