Mi nadhani hapa tumekaa vizuri ila shida yetu sisi wana ICT au kuwa more specific ni sisi developers tunakosea mambo kadhaa ambayo yanaturudisha nyuma... Nayo ni:-
1. Tusibaki kuilaumu serikali na watu binafsi, NO ONE IS WILLING TO INVEST ON A PROJECT/SECTOR THAT HE IS NOT SURE OF A RETURN. Kila mtu au serikali haiwezi kutoa mahela na kuweka kwenye sector ambayo haijui mbele wala nyuma yake, yaani kuweka hela kwenye sekta ambayo haina muelekeo... What I mean here is WE NEED TO ADVERTISE OUR SECTOR, TUONYESHE KUA SECTOR YETU NAYO NI DILI NA INA MASLAHI...
2. Pointi yangu ya pili inaendana na ya kwanza kua kuonyesha kua sector ina dili ni kwa njia ya KUFANYA PROJECT ZA PROGRAMMING AMBAZO ZINAGUSA WATANZANIA, ambazo zitawafanya watanzania wajue programming ni muhimu... Na wao kujua kua programming ni muhimu ni kwa sisi kufanya project za programming ambazo zinawagusa watanzania...
3. Programmers tuna tabia ya kuogopa kuibiana idea hivyo kila mmoja anajifungia na nyenzo (computer) yake ndani ya chumba (hom, ofisi) akikomaa na kitu bila kushauriwa huku akiamini kua yeye anachofanya ni sahihi... Akikwama anatumia too much time kusolve a very simple problem ambayo angeshirikisha ingekua easy mno... Tushirikishaneni wadau, japo kwa mawazo.... HE WHO IS AFRAID OF GIVING OUT IDEAS IS RUNNING OUT OF IDEAS...
4. Tatizo lingine ni lile ambalo linawagusa most technical people... We always put too much energy on solving Technical problems rather than solving REAL WORLD PROBLEMS... Hapa ndipo panatupa shida... Utakuta hata kwenye professional meetups mtaalam anang'ang'ana kufundisha vitu technical zaidi badala ya kufundisha kua ni prblem gani jamii inayotuzunguka inayo... Yaani, BADALA YA SISI KUANGALIA MATATIZO AU SHIDA ZA WATANZANIA NA KUZIFANYIA KAZI, SISI TUNANG'ANG'ANA KUJUA ZAIDI KWANINI PHP AU JAVA HAILETI RESULT, KUJUA KWANINI INTERFACE HAIWI NZURI... Ni muhimu navyo hivi ila sasa wadau, inatubidi tuhamie kwenye kugundua YANAVYOWEZA KUWA SOLVED KWA KTUMIA PROGRAMMING.
5. STOP BLAMING SOMEONE OUT THERE FOR YOUR FAILURES, ACT POSITIVELY AND BLAME YOURSELF FOR YOUR FAILURES... This shoul be a rule for a programmer as everything is on your desk, nchi yetu wala serikali haijazuia opensource zisitumike na kutangaza kazi zetu ni sisi wenyewe kwanza then wengine watafuata...
Haya ndio mawazo yangu...
Mimi pia ni programmer, ila wa websites zaidi, kazi zangu zinakuja....
Hata mbuyu ulikua kama mchicha, pamoja tunaweza, tushirikishane!