Si kweli acha kupotosha ukiwa na wazo linaloweza kuisaidia jamii na linaendana na sera za kampuni unapewa hela... mfano IMBEJU ni project ya mtu imechykuliwa na bank.
Duh mkuu hii mbona mtelemko sana.
Je Kibamba ipi ni nzuri maana napofahamu ni Kibamba shule kwa mbali tu nikienda kibaha?
Na kama una namba ya dalali nisaidie
Kwa wenyeji na wazoefu wa maeneo ya Kibamba nataka kuhamia huko. Naomba mnisaidie kufahamu ni Kibamba ipi nzuri kwa mtu anaeishi maisha ya kibachela na rahisi kwenda na kurudi katikati ya jiji.
Pia namna gani naweza pata chumba au nyumba ya kupanga na bei zake zipoje, kwa nyumba standard iliyo...
Nasema hailipi sababu maybe ya expectations zangu before na vile watu walinieleza.
Kwa sasa naifanya zaidi weekend sababu ndio walau kuna pesa. Ila siku za kawaida naweza choma mafuta baadae nikilaza gari nakuta nilichopata kinarudi kujaza mafuta ya kesho so ni kama naifanyia kazi bolt. Alafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.