Recent content by stupid255

  1. S

    Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

    Aise we jamaa, jana nilikua iringa maeneo ya isimani, nimefanikiwa kukutana na babu yangu mdogo ambaye yeye na wazazi wake pamoja na nduguze walikua ni wenyeji wa huko, kwa wakati huo babu alikua mgambo wa kijiji akiwa ni kijana aliyetoka tu, kumaliza mafunzo jeshini, alinipa historia ya dr...
  2. S

    Tofauti ya mchumi na bahili

    Umeeleza vizuri Sana mtaalamu, hii Kwa lugha ya kimombo tunaita optimal resources allocation Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    Mapenzi na jino kipi kinauma Zaidi?

    Wee Jino Ni nyoko
  4. S

    Ni kipi kilichojificha kwenye ndoto zetu?

    Daa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani kwenye maisha ya kawaida unakuta huna hata baiskeli ila ndotoni una vogue Sent using Jamii Forums mobile app
  5. S

    Biashara ya car wash

    Fanya kweli mkuu achana na mbovu
  6. S

    Biashara ya car wash

    Fursa hizi tujitahidini jamani
  7. S

    Biashara ya car wash

    Nawaambieni ndugu zangu tu jitahidi kuanza na kidogo tulicho nacho, tusikatishwe tamaa na watu. Kujuana na watu(connection) ni kitu muhimu inafanya urahisi wa kupata vitu mana kuna watu ukiwapigia unatafuta eneo wanakufanyia mpango au kukuunganisha na mtu mwingine, ukitafuta mashine pia...
  8. S

    Biashara ya car wash

    Kwa sababu nilinunua used siwezi jua exactly utauziwa sh. Ngap ila kwa makadilio pressure pump unaweza Pata Kati ya 250000-350000 Vacum 200000-300000 Hela ya kupanga(itategemeana na sehemu) 25000-75000 Vitambaa mi nianza na vitenge nadhani utapata kiurahisi Tank dogo mi nilinunua used kwa 30000...
  9. S

    Biashara ya car wash

    Kama 650000, mashine nilinunua kwa mtu, baada ya kutangaza group la whatsapp nikaunganishwa nae
  10. S

    Biashara ya car wash

    Hapo hapo nilipopanga kuna chemchem kubwa Sana najaza tu kwenye tank, location pia muhimu mana inakupa unafuu wa gharama za maji
  11. S

    Biashara ya car wash

    Pressure nilinunu laki 250000 ikiwa mpya kama ile laki Sita na vacum lak 200000 ikiwa mpya sijui ila nadhani ni expensive zaidi ya hapo
  12. S

    Biashara ya car wash

    Sawa kiongozi sawa
  13. S

    Biashara ya car wash

    NB eneo nalipa Kodi 25000 kwa mwezi
  14. S

    Biashara ya car wash

    Wanao osha kwa ndoo na vitambaa ndo walinitia moyo, nikaona inawezekana kabisa yani
Back
Top Bottom