Ni kipi kilichojificha kwenye ndoto zetu?

kuna nadharia nyingi katika hili, unachotakiwa kujua ni kwamba ndoto zipo hata kwa wanyama pia.

ndoto zina kazi nyingi sana .

swali ni je? kifo na ndoto zinafanana? je kama mtu akiwa costant kalala na mwingine kafa ... ndoto still zitakuwepo au nini kuna kitu kingine zaidi ya ndoto..
 
Duuh aisee mi kila nikiotaga afu nisiseme kwa mtu yoyote lazma itokee ukweli 80%
Ila nikihadithia tu kwa mtu basi hua inakua tofauti
Mwaka jana niliota nimeshika hela nyingi sanaaa nami kwa maksudi nikajikausha bila kumwambia mtu
Nilikaa wiki moja nikala betting 995000
 
Nikiota naokota pesa kwangu ni mkosi lazima nipoteze pesa
 
Sio kwamba huwa huoti bali threshld level katika memory centre inakuwa ndogo....soma kwa makini post za juu...kukumbuka ulichoota inategemea na back up katika memory centre...

Unapolala laazima subconscious mind inahusika kuukeep busy mwili wako uwe katika active state ...no matter utakumbuka au hutakumbuka kama uliota but l kinachokufanya ukumbuke ni hiyo threshold level intensity katika memory centre..

Sent using Nokia 8 Plus

Wewe unaonekana ni mtaalamu wa haya mambo sana brother.

Hivi wale wanaojiua kwa kujizidishia madawa ya kulevya kama heroine or, cocaine huwa wanaikosesha nini subconscious mpaka kufikia kuukosesha mfumo mzima wa mwili kazi ya kufanya?
Au nusu kaputi inapozidi mtu hupotelea usingizini mazima.
Sasa tuseme subconscious ina mipaka?
 
Mi huwa naota nipo na diamond katika hali tofaut tofaut lakin nnachoshangaa huyu jamaa huwa simuongelei,simfikirii wala sio msikilizaji wa nyimbo zake lakini kwenye ndoto nakuwa nae kama mshkaji wangu,nashindwa kuelewa hizi ndoto huwa zinamaana gani.

tatizo lugha
 
haha yawezekana maana hata mimi ishanitokea sio mara moja hii kitu yani quick responce muda huohuo
Zile dawa zina effect kwenye respiratory centre( mfumo unaohusiana na upumuaji hasa oxygen delivery kwenye ubongo)..

ukimeza zile dawa zinaenda kusupreess respiratory centre hence ooxygen delivery inapungua kwenye ubongo kwa hiyo mtu anakufa silently....

Hazina effects na subconcious mind but huwa zinaleta lucid dream effects....

Haha haha umeniacha njia panda mkuu niko bado nafikiria
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom