Recent content by String Theory

  1. String Theory

    JamiiForums Tanzania Kwanini mgonjwa akikaa katika upright position upata unafuu

    Unapokuwa kwenye semi sitting au upright position inasaidia upumuaji kwa sababu moja tu kubwa ambayo ni kwamba Misuli ya upumuaji (Diaphragm) inayo tenganisha katikati ya kifua na tumbo inafanya kazi kwa urahisi katika kusukuma na kutanua mapafu. Hii inatokana na gravity na uzito wa mapafu...
  2. String Theory

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nissan X-trail for sale

    Nimeshindwa ku post picha. Check me on whatsup nitakutumia.
  3. String Theory

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nissan X-trail for sale

    Nissan X-trail for sale in excellent condition. TZS 7.5Millioni. More details for serious buyers call 0759344353. Good Luck
  4. String Theory

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuache uoga tuache utafiti juu ya Uchawi

    Uchawi sio science. Uchawi mwingi utaendelea kuwa siri maana ingredients zake ni haramu eg. Miko ya albino. .etc
  5. String Theory

    JamiiForums Tanzania Kuna Wanyama wangapi hapa?

    Wanyama = 6 1. Tembo 2. Farasi 3. Mbwa 4. Paka 5. Panya 6. Nyani
  6. String Theory

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Napenda kuwahakikishia kuwa baada ya October 25th TZ haitakuwa ile ile, hilo halina ubishi na haijalishi endapo CCM itashinda au UKAWA itashinda na hii inatokana na ukweli kwamba nguvu ya upinzani na nguvu ya watawala vimelingana. Kuna hoja mbili tu za msingi zinazo pambambanishwa katika...
  7. String Theory

    JamiiForums Tanzania Kuna dawa ya kupunguza ukubwa wa Muhogo wa Jang'ombe?

    Chips Yai kutwa mara tatu. ..
  8. String Theory

    JamiiForums Tanzania Wembe umenikata, nitumie dawa gani kati ya hizi?

    Safisha kwa eusol. Then paka dawa inaitwa Bactroban kila siku kwa siku saba tosha kabisa. Hayo mengine hayafai kwa fresh wound.
  9. String Theory

    JamiiForums Tanzania Speed of light travell is possible but how?

    Indeed "Space Time" dimension will redefine the future of understanding of the universe.
  10. String Theory

    JamiiForums Tanzania Tuwavishe Tanzania

    Brilliant idea
  11. String Theory

    JamiiForums Tanzania Doing the imposibles

    Wapi hapo mkuu? Indeed! This is doing the impossible.
  12. String Theory

    JamiiForums Tanzania Swali: NLD Ina Asilimia Ngapi Ya Mgawo Wa Uwakilishi UKAWA?

    Mtoa hoja usikatishwe tamaa na majibu kama hayo. Swali lako watakuja wanao jua
  13. String Theory

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    This is divergent...
  14. String Theory

    JamiiForums Tanzania Siku ya kuzaliwa

    September 06
Back
Top Bottom