Wembe umenikata, nitumie dawa gani kati ya hizi?

Wembe umenikata, nitumie dawa gani kati ya hizi?

sheremaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
5,159
Reaction score
13,204
Kati ya Spirit, Iodine tincture na limao; nitumie dawa ipi hapa? Nimekanyaga wembe umenikata mguuni.
 
Safisha kwa eusol. Then paka dawa inaitwa Bactroban kila siku kwa siku saba tosha kabisa. Hayo mengine hayafai kwa fresh wound.
 
Back
Top Bottom