Recent content by Striga

  1. S

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Jumamosi tuchukue ndoo hii ya uefa turudi tupumzike
  2. S

    JamiiForums Tanzania Uhuni wa Kampuni ya mabasi ya Nacharo

    Kwa kesi niliyoipata ya hawa ndugu wawili kutoka dodoma jana ilikuwa walikata ticketi ofisini toka ijumaa asubuhi na jana kuja wanakuta siti hizi hizo zimekatiwa tena na wakadai aliyekatisha mapema alisahau kujaza sehemu husika na kisha mwingine naye kakatisha siti hizo hizo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Uhuni wa Kampuni ya mabasi ya Nacharo

    Na pia naambiwa RTO wa Dodoma maambiwa askari waliokuwa kituo kikuu cha mabasi asubuhi ya leo pia anatakiwa afuatilie watu hao ni shida
  4. S

    JamiiForums Tanzania Uhuni wa Kampuni ya mabasi ya Nacharo

    Hahahahahahah
  5. S

    JamiiForums Tanzania Uhuni wa Kampuni ya mabasi ya Nacharo

    Mambo ya kizamani sana haya na sijui yanatokea dumia ya leo yenye ushindani wa kibaiashara hivi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Uhuni wa Kampuni ya mabasi ya Nacharo

    Subiri siku ukutane na huo uhuni wanaofanya ndo utapata ufahamu vzr
  7. S

    JamiiForums Tanzania Uhuni wa Kampuni ya mabasi ya Nacharo

    Kwakweli sikufahamu kabisa juu ya uhuni wao huu, wamenisaprise sana, kuanzia leo naanza kuwa haters wa hii kampuni maana muda safari zangu za Dar Tanga ilikuwa wao na Ratco baada ya kurejea
  8. S

    JamiiForums Tanzania Uhuni wa Kampuni ya mabasi ya Nacharo

    Nacharo walianza huduma zao kwa uzuri na walijijengea heshima kubwa kwa barabara ya Tanga to Dar na hivi karibuni walianza route ya Tanga to Dodoma. Kutoka na kutanua huduma zake imefikia hatua ya kuajiri vijana watata na wahuni kwenue ofisi zake za Dodoma na Tanga kwani wamekuwa na utaratibu...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Niko safarini muda huu na nitafika home usiku sana naomba kama kuna link nipewe nam nipate kuwa nachungulia kidogo
  10. S

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kopps habari ya jioni
  11. S

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Timu imeendelea kuimarika sana
  12. S

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Habari ya jioni Kopps
  13. S

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hongereni kwa usahindi mzuri kabisa leo, mm nakabaliwa na changamoto nilisahau password ya akaunti ya bengalisis na kila nikifanya jitihada za kurest imekuwa sipati mresho mwezi sasa
  14. S

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Wana Kopps habari ya siku nyingi sana?
Back
Top Bottom