Recent content by Stratopause

  1. S

    JamiiForums Tanzania Njia mpya ya kuchipu PS4 yagunduliwa !! PS4 version 12 zinaweza kuchipiwa kwa mbinu ya CD.

    Niliachaga kucheza game generation ya PS 4 MWANZONI sijui ni UTU UZIMA AU VIPI BUT I HAD SOMETHING TO TAKE CARE MORE THAN PS BECAUSE I USED TO PLAY ALL GENERATION OF PS 1 SO HATA KESHO NAONAGA NI VITU VYA KAWAIDA SANA WAZA MAISHA ARE OLD ARE YOU?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hiki kinachoendelea anachofanya Trump kwa Putin ni dharau ya wazi wazi, Hebu jionee mwenyewe

    Ila nimependa ndege ya marekani nimesahau maneno mengine but yalisomeka watch your steps tahadhari Fulani hivi
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kenya inapendwa na wazungu ilihali tumezidi vivutio?

    Language na shukrani kwa hayati baba wa taifa mwalimu Nyerere Swahili ni official language, heritage yake Tanzania ila wao hawajui kiswahili only English they are just neo colonialism
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Reality TV Shows: Share reality TV shows nzuri

    American pop idol
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mtu anayetoa milion 10 kununua bajaji Ili apewe 20k Kwa siku ni kufanya biashara kichaa

    Ni biashara nzuri yakusaidiana kwa vijana sema usiweke mkataba Hadi uone uliompa chombo chako amaendasha sahihi SIO mnasaini mkataba mwezi mmoja bajaji imepata ajali
  6. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza gesi za kupikia

    Uza mitaa yakishua ,mkaa unalipa uswahilini
  7. S

    JamiiForums Tanzania Aina gani ya marketing ni rahisi zaidi

    Jibu limejieleza door to door uwekezaji wa online ni mtaji mkubwa unahitajika kwenda vyombo vya habari kulipia tangazo ila door to door inasaidia ila kama mtaji mkubwa fanya online marketing.Because online marketing bidhaa tayari ishajulikana kwaiyo mtu anafanya demonstration of skills kidogo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Biashara Ya MTUMBA Grade 1

    TAFUTA mshakji mwenye connection watu wanguo nguo even mawinga they are going to help you kama una investment yakutosha
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wenyeji wa machimbo ya nguo kali kariakoo

    Ukiwa mjanja Ingia karume ilLala pale ndio Kuna midundo ya hatari ,soko kubwa la nguo tanzania
  10. S

    JamiiForums Tanzania Duh, kama hizi ndio faida za bia/pombe, basi akili zetu zinahitaji "reforms"

    Pia usisahau faida na hasara ya ngono zembe kwa watu ambao hawajalewa
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

    Basi mtajuana wenyewe ungemwambia ivyo angekubali Sasa ushamwabia muachane YEYE akakubali matokeo , mpigie simu kama unampenda kweli ila kama haumpendi unataka attention kwake mkaushie
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

    Acha tabia MBAYA yaku play mind games
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

    Jamaa alichofanya ndio kitu sahihi he destroy your ego because a lot of you woman have ego,kakuonyesha kwamba anaweza kupata mwanamke mwingine you just need attention from him ,wanawake WENGI WANAPENDA kucheza na akili za wanaume na jamaa kaonyesha he don't want games ,you say ooonh hata...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kazakhstan yapiga marufuku mavazi ya kidini ya ninja(niqab) kwa wanawake

    J Bila mrusi ujamalizia Russian USSR
  15. S

    JamiiForums Tanzania Orodha ya makabila Tanzania

    Ujasoma history kuhusu clan? Chaga ni kabila asili Kilimanjaro ambapo Kuna clan ndio hizo vunjo ni clan ya kichaga the same kwa tribles zingine Kuna kabila kuu ila Kuna koo kazaa ambazo zinafanana lugha , kitamaduni na vitu vingine nilikuwa sipendi history ila nilipataga concept iyo
Back
Top Bottom