Recent content by Straddler

  1. Straddler

    Hivi wahudumu wa Lodge / Hotel wao wana roho zetu hizi hizi za Kibinadamu au zao ni Maalum?

    Pole mkuu..:) Umempa jamaa "free show"..! Kuna gesti nyingine wanachaji kiingilio kwa wakazi wa mtaani.
  2. Straddler

    Hivi wahudumu wa Lodge / Hotel wao wana roho zetu hizi hizi za Kibinadamu au zao ni Maalum?

    Wengi wao ni wapiga chabo. Inabidi uwe mwangalifu. Zima taa.....:)
  3. Straddler

    Mama Kanumba asikitishwa na kitendo cha Lulu kutolewa jela. Asema "Siku zote maskini hana haki"

    Well said.... Nina hakika utakuwa wakili mwenzangu wewe. Kibatala ni mbabaishaji. Thank you..
  4. Straddler

    Kavazi...............

    Ana sura ngumu huyo...!!
  5. Straddler

    Kuna under 30 anayemiliki gari na nyumba?

    Anza kuuza bwimbwi..
  6. Straddler

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ni muumini wa imani ipi?

    It is a free country, baba.. We nenda tu msikitini, kanisani.... hakuna atakayekufukuza. Mie nafuata mnuso tu. Nikisikia hafla yenye maakuli ipo kanisani navaa suti yangu ya mtumba, najivuta. Kama hafla ipo msikitini, huyoo na kikanzu changu na baraghashia..
  7. Straddler

    Mifuko ya Hifadhi za jamii ipo sahihi kuondoa fao la kujitoa

    Wao waseme tu kwamba wametumia kodi za wananchi vibaya, serikali imeishiwa pesa na sasa wanakodolea macho fedha za wananchi zilizo katika hifadhi ya Jamii. Wasije wakasahau tu kwamba fedha zilizoko kwenye hifadhi ya jamii sio mali ya serikali.
  8. Straddler

    TANZIA: Mwimbaji mkongwe wa taarab, Bi. Shakila Saidi afariki dunia

    Piga hesabu vizuri, mshikaji. - JKT lilianzishwa rasmi Julai 10, 1963. - Miaka ya 70 na ya 80 mwanzoni, Bibi Shakila alikuwa akiimba na vikundi vya Lucky Star na Black Star vya Tanga (unaweza kuhakiki na Waziri Ali, mpiga kinanda wa Kilimanjaro band) Nashindwa kuelewa kwa nini historia ya huyu...
  9. Straddler

    Farhia Middle wa ITV/Radio One sasa umekuwa mtamu kama mcharo!

    Bondia huyo.... Hakuna anaemiliki.
  10. Straddler

    Wafanyakazi zaidi ya 360 wa Dangote wakamatwa kwa kufanya kazi nchini bila vibali

    Wewe ni Ofisa wa Uhamiaji ? Mbona unatetea uozo?
  11. Straddler

    Dk Magufuli apukutisha Viza Wizara Mambo Ya Nje

    Kama ulikuwepo vile...!! Balozi mmoja ambaye alikuwa "class mate" alikuja mwaka jana kwa sherehe za krismas akanialika. - Watoto wake badala ya kuniambia 'Shikamoo'... wao wanasema "good morniiiiiing"!! - Wakati wa msosi, walipigwa na butwaa baada ya kuniona nikiweka pembeni uma na kisu na...
  12. Straddler

    Magufuli ndio habari ya dunia sasa, mpaka "yahoo news" anakimbiza.

    If the 2 are a disaster, they wont last long, I promise you. Huyu Mzee hana utani na mtu huyu..!!!
  13. Straddler

    Kukodi helicopter mbovu, ni muendelezo wa maovu yao!?

    Taasisi zipo ila zimetawaliwa na "10%" na kale kamchezo ketu ka "kuweka cha juu".:disapointed:
  14. Straddler

    Huruma iliyozidi kipimo

    Na hiyo huruma ya Mke-mtarajiwa angalia isije ikapita kikomo, akaanza kuwahurumia makapera wa mtaani, jinsi wanavyoteseka na baridi usiku.:director:
  15. Straddler

    Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Tatizo sio barabara. Kinachochangia kuongezeka kwa ajali ni viongozi wa sasa ambao wako busy kuua reli za kati na Tazara, ambazo zilikuwa zinasaidia kupunguza idadi ya magari makubwa ya mizigo barabarani
Back
Top Bottom