Mwambie huyo shemu ashike adabu na hii iwe mara ya mwisho kuleta jambo kama hili. hutaki kumharibia urafiki na unampa fursa ya kujirekebisha na asile mambo a uzabi zabina baina yenu. Mwabie umesikitishwa sana na kitendo cha kutaka kumsaliti rafikiye ambae kamfanyia hisani nyingi