Recent content by StoikKadi Express TZ

  1. StoikKadi Express TZ

    JamiiForums Tanzania Unaandaa Harusi, Send-off, Sherehe au Corporate Event?

    Badili namna unavyosimamia wageni kwa kutumia Kadi Express, mfumo wa kisasa wa Mialiko ya Kidijitali Tanzania unaorahisisha usimamizi wa wageni kuanzia mwaliko hadi siku ya tukio. Kupitia Kadi Express unaweza kupata: ✅ Digital Invitations za Harusi, Send-off na Corporate Events ✅ RSVP...
  2. StoikKadi Express TZ

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Francis Mtinga ataka wananchi wakatwe asilimia 10 ya kila vocha anayonunua kusaidia kwenye mfuko wa bima

    Naunga mkono hoja, ila napendekeza tukatwe 50%. Vocha ya 1000, wakate 500, kwa mwaka tutapata zaidi ya trillioni 15. Hii itakuza uchumi wa taifa.
  3. StoikKadi Express TZ

    JamiiForums Tanzania Social media marketing

    Karibu, ni wapi hapo unahitaji msaada?
  4. StoikKadi Express TZ

    JamiiForums Tanzania Social media marketing

    Ukiifuata formula haidanganyi, japo inahitaji consistency.
  5. StoikKadi Express TZ

    JamiiForums Tanzania Social media marketing

    Kuna factors nyingi sana. Ads retargetting unafanya inakuwa wale walioona tangazo lako ndio audience inakuwa retargetted na sio audience mpya.. hii inakuwa rahisi kuconvert hao wanunue. Google hawajaathirika kama META, Kwa sababu watu wengi wanatumia Chrome kuGoogle, hivyo google hawaathiriki...
  6. StoikKadi Express TZ

    JamiiForums Tanzania Social media marketing

    Ni sahihi. Apple iOS Updates – Privacy Is King Now Tangu iOS 14.5, Apple wakaleta App Tracking Transparency (ATT) Hii ilifanya Facebook (Meta) washindwe kufuatilia vizuri user behavior Result? Data targeting imekuwa ngumu, sio za uhakika kama zamani 2. Cost per Result (CPR) hutegemea...
  7. StoikKadi Express TZ

    JamiiForums Tanzania Social media marketing

    USHAURI KWA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA: JINSI YA KUPATA WATEJA KUPITIA MATANGAZO YA SOCIAL MEDIA (2025 STYLE) Wafanyabiashara wenzangu wa Bongo, ukweli ni huu: dunia ya matangazo kwenye social media imebadilika sana. Kama bado unatumia mbinu zilezile za 2020, utakuwa unateketeza hela zako bila...
  8. StoikKadi Express TZ

    JamiiForums Tanzania Tanzania ingenunua Bitcoin za milioni 200 mwaka 2011 leo tungekua mbali

    Hata Internet Waliita Bubble.. Ila imebadilisha Dunia.. Same as Blockchain
  9. StoikKadi Express TZ

    JamiiForums Tanzania Tanzania ingenunua Bitcoin za milioni 200 mwaka 2011 leo tungekua mbali

    Usinunue Shit Coin kama Shiba INU.. Tafuta strong projects zenye potential... Kwa 1m unaweza nunua QREDO after 3 years utafurahi.
  10. StoikKadi Express TZ

    JamiiForums Tanzania Kocha mpya wa Simba(MBUMBUMBU)hana maajabu yoyote kwenye Soka

    Ulitegemea achukue La Liga Akiwa na Getafe? Unaijua klabu ya Al Qadsia na Mpinzani wake mkuu huko Kuwait? Kocha ana elimu nzuri, bado ni kijana, Anaweza kuwasaidia Simba kwa Elimu yake na uzoefu. Nitajie Kocha Tanzania mwenye elimu ka Kocha huyo wa Simba.
  11. StoikKadi Express TZ

    JamiiForums Tanzania Kumbe gari ya kampuni?

    1.Kampuni ya Wasafi Limited ndio Yenye Wasafi TV? Au Wasafi TV ipo chini ya Kampuni nyingine? 2.WCB Music Label ipo chini ya Kampuni gani? Wasafi Limited au ipi? 3.Wasafi Limited, Wasafi TV, Wasafi Fm, WCB Music Label Kuna uhusiano gani? Jifunze kuhoji na sio kukurupuka
  12. StoikKadi Express TZ

    JamiiForums Tanzania Bus la Yanga ni TATA. Utopolo acheni kutaka sifa zisizokuwa zenu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. Walizidi kutukana Mamba kabla ya kuvuka Mto.
  13. StoikKadi Express TZ

    JamiiForums Tanzania Bus la Yanga ni TATA. Utopolo acheni kutaka sifa zisizokuwa zenu

    Wanaojiita wananchi walipata kunena yafuatayo: 1. Hatuwezi kutumia bus la wahindi. 2. Mo hana hela, B20 imemshinda hawezi kununua Bus zuri. 3. Bus letu jipya ni kama la Madrid, Liverpool & Manchester City. 4. Spea za Tata zinatumika hadi kwenye cherehani. 5. Tunashusha Bus la Bilioni 2. Na...
  14. StoikKadi Express TZ

    JamiiForums Tanzania Kwanini Simba SC inachukiwa na waandishi /wachambuzi?

    Being a female isiwe sababu ya kutokuwa na weledi... Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom