Recent content by Stinker

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini mnichukie...!

    Am so blessed with your post......Asante mtambuzi
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume ebu semeni hisia zenu ktk hili

    dude, si ulimwacha au ulikuwa unatania? sa unataka akae single forever?
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lov

    kama umeshaambiwa ana mtu we unataka nini? au ndiyo we nidanganye, nidamganye tuu, ukiniambia ukweli nitaumia....angekubali bila kumtaja the other men,later ungejua ungekuja kupost uzi"nazan gal wangu anacheat", let it go bana
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tatizo sijui ni nn??

    haumfikishi pengine...so anafanya bora liende
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ameniomba nimtaftie mwanamume wa kumliwaza

    umemuowa mama yako?,we kama unauza mechi, mtafutie na mkeo wa kumtibia
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "CRAZY Things We Do For Love"...

    kama haya yote ni stupid things to do in the name of love, what is love then?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Real translator job

    i remeber mwl wangu mmoja walimuingiza mjini...wakampa kazi akafanya, baadaye wakaja mwambia hajaqualify but alikuja kuona kazi yake imekuwa published ingawa mwenyewe hawakumlipa.....
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia za mwanamke huyu zinaniweka mtegoni

    take action now or never, siku mkeo akikufuma na sms za huto bi-dada hata elewa kama you were not interested in her... we mpe makavu live...ataacha tu akiona huna mpango naye
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Honestly, Isnt it Possible?? (Je ni Kweli haiwezekani kabisa??)

    this is so cool
Back
Top Bottom