Lov

Lov

Oya wadau i hv a p,plm naomba mnisaidie kuna dem mmj nampend knouma ila kla nkmwambia ananjbu kuwa tayal kuna men ambaye anamkamatia en m stll lovn her xo n2mie njia gan nyngn kumpata cz nmejalbu km mara 3 bt cjafankiwa majbu ni yale yale kuw awez kuhandle wa2 wwl kw wakat mmj

Kwakuwa amesema kwamba yupo na mtu hapo cha kufanya ni kubaki tu kwenye waiting list hamna namna nyingine.
 
ukiona hivyo ujue kapenda ua na boga lake...yaan limoyo lote limemdondokea hivyo anataka kutumia ile style ya kata mti panda mti...
mmmmh!! watu8 atapotezwa huyo!!!na jamaa akishajua ana jipendekeza kwa sweet heart wake, asijishangae waki-mtigo!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini usiandike vizuri mkuu?
Amekwambia ana mtu na umesema umejaribu kila njia na umeshindwa.

Hivyo basi kajipange upya kwa sasa pumzika, ikiwezekana tafuta mwingine ambaye atakuelewa.
Wewe unampenda, yeye hakupendi.

me ckumuulza km ana m2 nlienda mm km mm bt bd akazngua
 
napita tuu,kuna mahali nafika mara moja
 
kama umeshaambiwa ana mtu we unataka nini? au ndiyo we nidanganye, nidamganye tuu, ukiniambia ukweli nitaumia....angekubali bila kumtaja the other men,later ungejua ungekuja kupost uzi"nazan gal wangu anacheat", let it go bana
 
Back
Top Bottom