Recent content by STimira

  1. STimira

    JamiiForums Tanzania Bado tunapwaya katika Suala la Makazi Tanzania, tunahitaji Sera madhubuti ya Nyumba!

    Kuna ujumbe upo hapa ingawa umepinda pinda sana..!
  2. STimira

    JamiiForums Tanzania Bomoabomoa Dar yatua rasmi Temeke - Keko wapewa notisi...

    Kwani kesi si iko mahakamani?? Hao watapona tu bila shaka..!
  3. STimira

    JamiiForums Tanzania Hoteli za Double Tree na Slip Way, zawekewa alama ya "X"

    Huyu jamaa ana kitu chaitwa MHEMUKO.....!
  4. STimira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba ovyo

    Stupid..!!! Very stupid and insane..! So unajiona mzuri sana? This is really insane. Period.........!
  5. STimira

    JamiiForums Tanzania Hawa funza wametoka wapi?

    Kwani mdudu kwenye kokwa la embe kaingiaje?
  6. STimira

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu atumbuliwa jipu

    Sasa bilioni saba za Zimbabwe si ni Laki saba za madafu??
  7. STimira

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Ninadaiwa kodi ya nyumba na sina kazi kwa sasa, msamaria mwema nisaidie

    Sikujua kama hili lingeweza kufanyika..! Tujipe hongera kwa ustaarabu humu jamvini..! Mungu ni Mkubwa.!
  8. STimira

    JamiiForums Tanzania Jua lipo karibu, mwezi upo mbali kidogo na nyota zipo mbali sana kutoka usawa wa bahari

    Daaaaaaaaah aisee..! Eti miale ya mwezi, jamaniiiiiiiii. Mwezi unatoa mwanga......!!!!??????😳😳😳😳😳😳😳😳
  9. STimira

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la meno kutoboka

    Kaka unahitaji kumuona daktari na mie ni dentist! Kama uko serious njoo inbox kaka hapa hatutuhusiwi kujitangaza
  10. STimira

    JamiiForums Tanzania Mambo ni Mswanooo tu, swafiiiiii

    Duuuuuh
  11. STimira

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete anavunja Baraza la Mawaziri lini?

    Haaaaaaa haaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  12. STimira

    JamiiForums Tanzania Zijue faida za Mmea wa Mlonge, Jitibu magonjwa 300 kwa kutumia mlonge

    Kula like nyingine hiyoo..!
  13. STimira

    JamiiForums Tanzania Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    Pole sana kaka! Usitegemee msaada humu jamii forum kwa mambo kama hayo, kila mtu atajifanya ni negative kwako..!
  14. STimira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama una moyo mwepesi usisome story hii, wengi wamelia sana !!

    Nashanga..!!!
  15. STimira

    JamiiForums Tanzania Wanachama zaidi ya 1900 CHADEMA wajiunga na CCM

    Halafu mbona wengi ni watoto under 16, nao wanapiga kura?
Back
Top Bottom