Recent content by Still88

  1. S

    V8 ya Mkurugenzi wa Geita thamani yake ni Tsh. Milioni 400

    Vyoo vya kazi gan wakati kuna vichaka. [emoji1][emoji1][emoji1]
  2. S

    Adhabu ninayoipata tangu nihamie chumba cha master, nipeni maujanja

    Haya ni matokeo ya kuishi master huku unapenda maharage na chips yai
  3. S

    Mzee Dkt. Pius Ng'wandu (Waziri wa zamani) aoa mrembo

    Hakuna alichokosea... Upendo popote
  4. S

    Ni sahihi kufanya maendeleo ya Kiuchumi na mpenzi wako?

    Siku hizi mambo yanakwenda kisheria... Hakuna kuzurumika.. Kwa kila kitu mwaandika majina mawili na kila mtu anabakia na kopi. Kama unahisi uko na mtu kwa ajili ya kumchuna tu yaan hauna upendo naye. Unapita tu. Bora upite tu. Ila kama mpo kimaisha, hiyo yaweza ongeza thaman kwako
  5. S

    Ni sahihi kufanya maendeleo ya Kiuchumi na mpenzi wako?

    Kwa nn ufanye maendeleo na mtu usiyemuamini?
  6. S

    Ni sahihi kufanya maendeleo ya Kiuchumi na mpenzi wako?

    Kwan wew ushawahi poteza vingapi?
  7. S

    Ni sahihi kufanya maendeleo ya Kiuchumi na mpenzi wako?

    Kwani kutambulika nyumbani ndo nini? Huwa hakuna kitu kuachana bali kuna kuachwa ama kumuacha mtu
  8. S

    Share movies nzuri series au single movies yoyote tuburudike.

    Hii picha inatisha sana yani
  9. S

    Makosa ya Rais Magufuli wakati mwingine unashindwa hata kumhurumia, the Man is So naive!

    Waga najiuliza haya sana. Nani atazalisha tukikaa ndani Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    Washington Post: Hakuna namna Rais Magufuli anaweza kujitenga na uwajibikaji kutokana na matendo ya Makonda

    Mimi macho kodo na masikio wazi nione nini kitatokea Sent using Jamii Forums mobile app
  11. S

    Huwa simbembelezi mwanamke!

    Mnapoteza muda, ukiona unatumia nguvu nyingi sana kuwa naye jua unaibiwa bro. Mapenzi ni pande mbili. Hata madem player wapo. Hawana mapenzi wala huruma ni walaghai tu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom