Recent content by stickyfinger

  1. stickyfinger

    Utaifishaji korosho: Ningekuwa Waziri wa Ulinzi,Waziri wa Kilimo au Mkuu wa Majeshi ningeomba kujiuzulu nisiwe sehemu ya unyang'anyi huu

    Hali hii imesababisha hali mbaya kiasi kwamba wakulima wameshusha sana bei ya kangomba ili wapate hela ya kula wakati wanasubiri malipo ya korosho walizouzia serikali. Kangomba haitakufa kwa stail hii ya kuchelewesha malipo na vitisho.
  2. stickyfinger

    Sababu tano za kufa kwa Bongo movie

    Solution ipo hapa
  3. stickyfinger

    Makonda rudisha mpira kwa kipa, bado muda unao

    Suala ni jinai ya kutumia cheti cha mtu mwingine, hata angeishia darasa la saba kwa cheti chake isingekuwa ishu. Na kama siasa haihitaji elimu, mbona raisi anamaliza tu maprofesa pale udsm katika teuzi zake za kisiasa?
  4. stickyfinger

    Povu la Jokate

    Huyo ana kampuni yake, ya Portal Noveli, sashiv katulia na kazi na familia yake. Huwa anapost vitu vya maana sana (very educational) kwenye instgram yake.
  5. stickyfinger

    Mungu anaendelea kuwaumbua, Vanessa Mdee atajwa sakata la Unga

    Coz brand ya wasafi ni ya kwao pekee, ukisema wasafi kila mtu anajua ni wakina nani, na isitoshe yule dj wao keshatajwa
  6. stickyfinger

    Mungu anaendelea kuwaumbua, Vanessa Mdee atajwa sakata la Unga

    Afende sele the king amesema msisangae wale wanaojiita wasafi (WCB) wakawa wachafu.
  7. stickyfinger

    Ferouz: Inaniwia vigumu kuacha madawa ya kulevya

    Wauza unga wajanja sana wanawarubuni wasanii waingie kwenye matumizi ya unga ili kupata uhakika wa soko la bidhaa zao pia wanajua ni rahis msanii kuvuta mashabiki wake kutumia. Pia siku hizi wanawaingiza wavuta bangi kwa kuwachanganyia na unga bila kujijua baadae ukigundua unaona bora uhamie...
  8. stickyfinger

    Namna ya kupata matangazo ya kiswahili kwenye Dstv

    Wakuu naomba msaada wa kuweza kusikia matangazo ya mpira ya Dstv kwa kiswahili. Kwenye screen kuna tangazo linasema audio 3: kiswahili ila nashindwa kuipata kwa remote control yangu. Nataka kuwasikia wakina Edo Kumwembe live.
  9. stickyfinger

    Mjadala: Basi kubwa na pikipiki vikitembea vyote kwa 120km/hr nani atatangulia?

    Kitakacho-determine mshindi ikiwa vyombo vyote vina speed sawa ni pale wanapoanza. Vyombo vinaweza vikawa na speed sawa lakini kimojawapo kikiwa kinachelewa kuchanganya basi kilichowahi kuchanganya kufikia speed ya mwisho kitawahi kufika. Mana kilicho mbele kitaendelea kuwa mbele tu kwa kuwa...
  10. stickyfinger

    Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

    Kuna Nkinga choir,Mzungu four, kitambo. kuna wimbo ule wa mchakamchaka mkimbilie Yesu nautafuta.
  11. stickyfinger

    Baada ya Malalamiko ya WanaJamiiForums, Rais Magufuli aandika kwa Usahihi kumpongeza Trump

    Unapowasiliana na mtu ni vyema kutumia lugha inayoeleweka vizuri kwa mlengwa/walengwa. Hii inahusisha uandishi sahihi na matamshi sahihi unapoongea. Kwa kiongozi wa nchi hatarajiwi kuonesha udhaifu katika haya, hata kama ikibidi kusaidiwa.
  12. stickyfinger

    Baada ya Malalamiko ya WanaJamiiForums, Rais Magufuli aandika kwa Usahihi kumpongeza Trump

    Muende wote mana na wewe unashida hapo, umeandika aende kwenye English nini?........ Nawe waweza rekebisha kama alivyofanya mheshimiwa.
  13. stickyfinger

    Msaada: Camera inayotoa picha na kuzuia vitu vya nyuma na pembeni

    Simu nyingi zenye outofucus na yenye option ya tap to focus au focus lock huweza kufocus unachukutaka hasa kama kiko mbele ya vingine then vya nyuma vinakuwa blurred (out of focus). Hizi simu za sikuhizi zenye camera 2 nyuma hufanya kazi hiyo vizuri zaidi kama vile iphone 7 plus
  14. stickyfinger

    Aunt Ezekiel anamaanisha nini kuonesha hii alama?

    Illuminati ni secret society ya juu sana, kwanza ni wabaguzi wa rangi, pia wanachukua watu wenye IQ kubwa sana. Huwa watoaji na mwenye kusaidia watu, hivyo ni watu matajiri sana na viongozi. Mfano ni JP Morgans na Rockefeller. Wengi wao huanzisha taasisi za kumataifa kusaidia wasiojiweza.
Back
Top Bottom