Tatizo ya hizo Flati ukinunua utajikuta tena kuna gharama za kulipia kila mwisho wa mwezi...mara unaambiwa Parking Fees..mara Lift Fees.mara hela ya usafi mara hela ya mlinzi..unajikuta kila mwezi unaambiwa ulipe 200$USD
Hili swala la stakabadhi ghalani nlishawahi kulifikisha hadi kwa Mh Bashe Naibu waziri wa kilimo
Tatizo la serikali yetu WANAINGIZA SIASA KATIKA BIASHARA YA MAZAO..[emoji2211]