Natafuta kitabu ambacho kimeandika vema historia ya Tanzania matukio mbalimbali kuanzia ikiwa Tanganyik mpaka miaka ya 1990 yeyote mwenye kujua kitabu gani kina content hiyo anijuze niende kutafuta .
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Uzinduzi wa video ya kwaya ya Zanzibar Reviral singers ulifanyika jana na kuhudhuliwa na mamia ya waumini wa dini na madhehebu mbalimbali ya Zanzibar.Uzinduzi huo ulifanyika kanisa la TAG kariakoo uliongozwa na Mheshimiwa Marina Thomas (Mwakilishi wa Balaza la wawakilishi) huku ikiwekwa wakfu na...
"Kuungwa mkono na baadhi ya viongozi wa chama na serikali hasa wale wa imani yetu" duj hivi vyama vitachafua nchi sijui chama gani hiki
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.