Habari zenu wakuu, binafsi in producer ingawa cjajikita sana kwenye hii kazi, bado nahesabu masAa mambo yakae vyema, kuna wakuu ambao kwa mda sasa tuna share ideas, knowledge, beats nk. Kupitia watsupp, ilikuboresha zaidi nimetengeneza group MUSIC PRODUCERS nawakaribisha sana wakuu kwenye hili...