Recent content by steven13

  1. steven13

    JamiiForums Tanzania Kuna ulazima wa Mungu kuwa mwema kama ambavyo Ukristo na Uislamu unahubiri?

    Mimi swali langu ni kwanini kuna baadhi ya watu wanateseka sana hapa duniani Yani mpaka unaweza kufuru aisee nimejiuliza hili swali miaka sipati majibu sahihi
  2. steven13

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ili niwe tajiri number 1 duniani?

    shuhuda za Matumizi ya SK na Shisha
  3. steven13

    JamiiForums Tanzania Naendelea kuwaambia

    unakabia Juu sana mzee
  4. steven13

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Muonekano wa sasa hivi wa Justin Bieber amedhohofika kwa sababu ya dawa za kulevya

    ni kweli anatumia drugs ila hana muonekano huo
  5. steven13

    JamiiForums Tanzania Je Kati ya dalali na mwenye kiwanja nani yupo sahihi

    Uyo dalali ni mjinga mimi ni dalali,kwangu ni very simple sababu watu ninao.Kama sina iyo cash ya kumpa kwa wakati huo nina watu wangu nawafata kama biashara imeshakaa vizuri tunakuja tunakulipa 50 yako tunaenda kuuza 90.Aliyewezesha mchongo namtoa kidogo tu sababu hela yake imetoka na kuzunguka...
  6. steven13

    JamiiForums Tanzania Je kuoa mwanamke aliyesoma sheria linaweza kuniletea madhara siku Za mbeleni?

    SIKUJUI ILA CHUKUA HII TOKA KWANGU USITHUBUTU.Niliwahi kushauriwa ila nikatia kiburi nikajichanganya kwa kuamini kila mtu ana njia yake Alooo sitasahau.Najutia Wanajua kila kitu,wanapenda haki sawa Wajuaji mnooooo atakusumbua tu ila mwanzoni hutaona
  7. steven13

    JamiiForums Tanzania Zifuatazo ni sifa za mwanaume anayejitambua kama ifuatavyo

    namba 11 atakuwa mpumbavu uyo mwanaume
  8. steven13

    JamiiForums Tanzania Dalili za ugonjwa wa H-PYLORI

    mimi nlimpata mwili unauma nachoka tu hata kaz sijafanya kifua kubana mgongo unauma
  9. steven13

    JamiiForums Tanzania Kwa miongo ulioishi Duniani umejifunza nini?

    1.Uhai,Afya na amani ndio zawadi kubwa zaidi tulizopewa wanadam 2.Heshimu kila mtu maisha hubadilika! Ishi na watu vizuri 3.Huthaminiwi kama huna kitu 4.Ukiweza kumsaidia mtu yeyote mwenye uhitaji fanya sio kwasababu ya fadhila ila kuifanya dunia kuwa sehemu bora kwaajili yetu sote.Be...
  10. steven13

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mwanaume ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa.

    Beautiful woman is another man's play thing (It is Not Ease-Lucky Dube)
  11. steven13

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Mlimwa C Dodoma

    NYUMBA INAUZWA MLIMWA C-MTAA WA WAZIRI MKUU WAWEKEZAJI USIHANGAIKE KUNUNUA KIWANJA KUJENGA ILI UPANGISHE BALI NUNUA NYUMBA HII IKO KWENYE MTAA UNAOPENDWA NA WATU WENGI DODOMA AMBAPO NI NGUMU KWAKO KUPATA KIWANJA KWASASA AU KWA BEI NAFUU UKILINGANISHA NA NYUMBA HII INAVYOUZWA __________...
  12. steven13

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

    We bado unawaamini wanawake mzee Ao kama kile chama tu mitano tena
  13. steven13

    JamiiForums Tanzania Raha ya tendo na heshima kwa mwanaume

    Bora ungeenda dodoma tu mkuu kuungana na wale
  14. steven13

    JamiiForums Tanzania Raha ya tendo na heshima kwa mwanaume

    Hana tofauti na wale walioko Dodoma saizi ni kujisifia na kujiponyeza tu
Back
Top Bottom