Dalili za ugonjwa wa H-PYLORI

Dalili za ugonjwa wa H-PYLORI

H pylori unaweza hisi una mgonjwa yote mimi ilinipata mwaka huu mwezi wa pili nilipima sukari,shinikizo la damu,ngoma, nikafanyiwa cjui fullblood picture mwishow nikaambiwa h pylori nipime pia ndo nikawa + h pylori
Dalili nilizopata mimi 1.kiungulia hasa wakati wa usiku hakuna kulala 2.kichefu chefu lkn hakuna kutapika.3kizungu zungu kikali muda mwingine najiona kama naanguka kabisa 4.uchovu hata kama hujafany kazi unachoka tu.
Kwa mimi sikuwa naumwatumbo kwa kweli
 
Ikiwa umetumia dawa za hospitali hujapona tumia kitunguu swaumu na asali.Asubuhi na jioni utakuja kinishukuru ila hakikisha ni h.pylori.Mimi nimeumwa miaka miwili maana nilipokuwa mjamzito daktari ndio niligundulika na h.pylori hivyo sikuweza kuutibu.Ikabidi nikae nao hadi najifungua nimejifungua ulikuwa umeshakomaa na nisugu plus ukali wa dawa.Hivyo nimekuja kupona recently kitunguu swaumu ni dawa jamani tusikidharau na asali pia ni dawa nzuri sana ila hakikisha asali ni original sio iliyochakachuliwa ukiweza chukua asali iliyovunwa directly na mtu kutoka kwenye mzinga ukiwa unaona tumia utapona
 
daah nimeshajaribu kila aina ya tiba lakini wapi asali vitungu swaumu nimemeza sana au nakosea wapi mkuu?
 
ndio zipi hizo mkuu?
Screenshot (172).png

hizo
 
Hamjambo natumai mupo wazima naomba kueleweshwa ni zipi dalili za ugonjwa au h-pylori, maana natamani kwenda kupima huu ugonjwa kutokana na homa za mara kwa mara zinazonikabili ila niliwahi kuskia watu wanaongea kwamba huu ugonjwa unatokana na matumbo namaanisha tumbo likiwa linauma ndio unapaswa kwenda kupima naomba munieleweshe kwa anaejua
Ni ugonjwa unaoambukiza kwa ngono ya mdomo au kula vitu villivyo contaminated,,, dalili ni maumivu ya tumbo, mgongo, gas tumboni, n.k
 
daah nimeshajaribu kila aina ya tiba lakini wapi asali vitungu swaumu nimemeza sana au nakosea wapi mkuu?
Hiyo asali itakuwa sio original asali nyingi mnazotumia mjini hizi zimewekwa kwenye vichupa vya konyagi 90%zimechakachuliwa.Tafuta asali original ile iliyotoka kuvunwa directly ina rangi nyeusi sio hizi za kahawia zimechakachuliwa.Tumia hiyo na kitingui swaumu utakuja kunishukuru.Pia ikiwa asubuhi u a gesturi ya kunywa chai ya majani(majani ya chai)acha.Nunua viungo vya chai vya kawaida weka kidogo weka na asali na vitungu swaumu kunywa.Au meza ku vitunguu swaumu na asali asubuhi na jioni ila asubuhi acha kunywa chai ya rangi au weka kidogo mno.
 
Tumia dawa za hosptital mkuu achana na mavitunguu , combination ya dawa kama tatu hivi , kama amexiline , metro na omoprazole 14days, ikishindikana tumia pylory kit , ikishindikana rudia dawa

hawa bacteria ningumu kufa kwa hivi vitu ulivyotaja mkuu
 
ngoja nijaribu pylorikit hizo amoxillin metranidazole na omaprazole nishatumia ni kama zinatuliza tu ila huponi moja kwa moja
 
Mimi nimepona huu ugonywa nimeumwa miaka miwili.Kitungui swaumu hichi tunachokichulia poa ni dawa na kinatibu.Na mostly nilikuwa nikishatumia huu mchanganyiko tumbo linakuwa sawa kabisa ikawa sasa naendelea maana nikitumia tu nakuwa sawa wiki nimepima sina tena huu ugonjwa nipo negative.Kitunguu swaumu ni dawa kinaweza kupambana na bacteria na asali pia
 
jaribu na kitunguu swaumu changanya na asali na maziwa kunywa mara mbili kwa siku utapona
 
Mimi nimepona huu ugonywa nimeumwa miaka miwili.Kitungui swaumu hichi tunachokichulia poa ni dawa na kinatibu.Na mostly nilikuwa nikishatumia huu mchanganyiko tumbo linakuwa sawa kabisa ikawa sasa naendelea maana nikitumia tu nakuwa sawa wiki nimepima sina tena huu ugonjwa nipo negative.Kitunguu swaumu ni dawa kinaweza kupambana na bacteria na asali pia
Sikupingi sana lakini itategeme na usugu wa bacteria wenyewe. Hawa bacteria niwagumu kusikia hataa hizo antibiotic
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom