Recent content by steven mduma

  1. steven mduma

    JamiiForums Tanzania Iringa: Jela maisha kwa kubaka na kumpa mtoto Ukimwi

    Yaani mtu kama huyu hukumu Bora angenyongwa tu kifungo na faini haitoshi kabisa
  2. steven mduma

    JamiiForums Tanzania Rais Robert Mugabe ahutubia taifa, akataa kujiuzulu na kasema ataongoza mkutano mkuu wa chama chake mwezi ujao

    Hakika hakuna marefu yasiyo na mwisho hayo yote amejitakia
  3. steven mduma

    JamiiForums Tanzania Lissu: Si mara ya kwanza tunaahidiwa kuwekewa mikataba wazi. Kumuunga mkono Rais si lazima

    Hakika tz kuna magumashi kweli tunapelekwa kwa upepo tu
  4. steven mduma

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Spika ameonyesha upendeleo, na kanuni hazimpi mamlaka ya kunifungia bunge

    Dah hakika usawa unatakiwa hapo hwajamtendea haki mnyika
  5. steven mduma

    JamiiForums Tanzania Habari ya mbunifu wa nembo ya serikali (Adamu na Hawa) imenitia simanzi..

    Hakika kwa hali hiyo haifanani na nembo hiyo ya taifa
  6. steven mduma

    JamiiForums Tanzania Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

    Dah kwa kweli ni mtihani hizi risasi
  7. steven mduma

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe: Sakata la Clouds kwa sasa ushahidi hautoshi kufanya maamuzi

    Siyo ushahidi autoshi sema limeisha kabisa hapa kazi tu
  8. steven mduma

    JamiiForums Tanzania Swali la kichokozi: Rais ataendelea kupiga simu Clouds?

    Atapiga kwa shida sana
  9. steven mduma

    JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyahu anatajwa ndio kiongozi mwenye akili zaidi duniani

    Hapo nyerere hawezi kuwepo
  10. steven mduma

    JamiiForums Tanzania Nataka kumpeleka mke wangu chuo lakini roho inasita

    Usidhubutu utajuta
Back
Top Bottom