Recent content by SteveBETHUEL

  1. S

    JamiiForums Tanzania World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

    dah namuelewaaaaa sanaaa Pirlo!!!! ni fundi jama
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri kufahamu maana na asili ya jina lako!

    na wangoni Je?? Manguruwe, Mang'ombe, Komba.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    jama nimepangiwa wilaya ya Igunga Tabora, shule ya mwamashiga. Vipi Huko??
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kundi la weusi

    kama unachukia vaa miwani usione GERE,..
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ni filamu gani ya kutisha ambayo unaikubali

    Nimeona movie nyingi za kutisha ila DRAG ME TO HELL ni Habari nyingine....
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nini madhara ya kutokwenda jeshini kwa aliemaliza form six mwaka huu

    Wakati jeshi lilipokuwepo kipindi hiko kwa.mujibu wa sheria kama leo hii Wangapi hawakwenda na hatua gani walichukuliwa?? tuache kupeana presha za bure. Huyo Mtoto aende kwasbb ni wa kiumeni ila apart from hapo nothing else.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nini madhara ya kutokwenda jeshini kwa aliemaliza form six mwaka huu

    si wa kwanza kutokwenda. na hakuna chochote cha kuhofia mkuu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yapiga marufuku vitabu vya SHAABAN ROBERT

    Sio tu kwa fasihi ya kiswahili, Bali kwa wanafasihi wote wajuao maana, mustakabali, minajimu na taratibu za Sanaa komavu igusayo jamii barabara.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yapiga marufuku vitabu vya SHAABAN ROBERT

    kwa mtu ambaye hajawahi kusoma Vitabu vya huyu jamaa, siwezi mlaumu akitoa mawazo yasiyo na kichwa wala miguu kwa Kuwa hajui Kipi kiongelewacho, hajui thamani ya Hayo maandish yaliyopelekea huyu mwandishi kutunukiwa sifa kedekede kwamba ni mwandishi bora kuwahi kutokea katika uso wa Afrika...
Back
Top Bottom