Recent content by STERING

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mawazo yangu tu

    Sasa watalindwa mafisadi ,watalindwa wale wazinzi ,na wenye maovu mengi kisa hiyo sheria
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu Maziwa hayatoki

    Suluhisho ni mbegu za maboga (tetele)zinapatikana sana Mbeya na Iringa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Zamani ilikuwa raha

    Nakumbuka laba za njano,zilikuwa na lebo ya DH,watu walisema Dingi Hana Uwezo,nakumbuka kunyoa nywele kama Shaba Lunx (mwana mziki wa Laga)
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

    Wazo zuri ,hamna namna kwa sasa,wajaribu na hiyo.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

    Habarizenu, Nimefikiri sana swala hili,ni kwamba halina majibu au wanaogopwa waganga ,au wanao watuma kufanya hayo mauaji mana,bado sijasikia bado kama wahusika wakuu wakiwa wameshikwa,zaidi ya kushikwa kwa wale wanaotumwa kuuwa,napenda nchi yangu ingeweka mkazo hili jambo,haija pita wiki tanga...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

    Leo ni droo
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Ahsante,petrol station inahitajika uzime gari wakati wa kuweka mafuta,inakuaje kwa safari ndefu mfano Dar to Mwanza,utalizima ukifika Singida wakat unajaza mafuta?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mshana,ahsante kwa kunijuza mengi,je?ubora wa gari kati spacio new model na toyota ist ?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Gari hii nauza

    Toyata IST unaniagizia kwa ngapi?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

    True,kimya kingi,swala gumu hili ,serikali itumia nguvu kidogo,ina fahamika hizi ni imani za ushirikina ,kwanini waganga na watumaji hawakamatwi ,ila wanakamatwa watu walio tumwa,hii haiuwi mzizi wa jambo,siafiki pi
Back
Top Bottom