Majid Mnana
Member
- Jan 19, 2015
- 19
- 2
- Thread starter
- #21
Bei inapungua kaka. uiogope. sina ujenzi
Hii ni milioni tisa tu hadi unaipata tena safi kabisa. Wavivu wa kuagiza ndio wanatakiwa walipe hiyo 11. Bisha nikupe vielelezoNoah Toleo la kwanza utapata kwa miliono 11.1
ukifahamu gharama nifahamishe namimi mkuuMimi sina Benz nyeusi C class.
Niliyonayo ni Benzi Nyeusi A class.
Ngoja niangalie kwa kuagiza kutoka nje itafika kwa sh ngapi?