grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
simba juu yanga wachumba 2
Hilo halina ubishi kama kifo.
simba juu yanga wachumba 2
hahahaha...yanga kwa kuongea tu hawajambo
msaada jamani kwa yeyote anayeweza kunipa link ya game ya leo.kuna mtu yupo nje ya nchi anataka kuicheki live online
Yanga 2 simba 1