Hii ni mara ya pili Lema anamchokonoa Heche.
Mara ya kwanza kwenye kamati kuu akaanzisha mjadala Heche akae pembeni kupisha uchunguzi wa kula hela za chama.
Mchaga always ni snitch
Nina wazo la kuanzisha project ndogo ya kusaidia watoto wa shule za msingi wanaotoka mazingira magumu kupata begi la shule lenye vifaa muhimu vya kujifunzia ndani yake—kama madaftari, vitabu, kalamu, mkebe n.k.
Kwa sasa nataka kuanza kama initiative yangu binafsi, mimi na washikaji wachache...
Thanks mkuu kwa this. Nimekupata vizuri, sema naona hii inahitaji kichwa chenye utulivu mpaka kumasta hii skill na mimi currently nipo kwenye kujitafuta mambo ni mengi. Ngoja nijaribu kwenye Kiswahili nimepiga course ya teaching Kiswahili to foreigners nataka nione namna gani naigeuza kuwa pesa...
Niliamua kuacha, bongo kuheshimu skills za mtu bado. Tena mteja anajiona smart eti nifanyie kwa buku 5 nitakuwa nakulengeshea wateja nna watu kibao wanataka logo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.