Recent content by STEGRA

  1. S

    Kwa nini wanaume wengi hudanganya kwenye hili………………!

    Yaelekea wewe ni mmojawapo kati ya wale walioleta mtoto wa kuokota huko nje akiwa katika ndoa ya ndoa yake maana jinsi ulivyotetea. pia uongo wao wa vitu vidogovidogo sio sababu ya wewe kutafuta vifurushi vya wototo na pengine hata uwezo wa kuwatunza huna matokeo yake unmrundikia mkeo mizigo...
  2. S

    Housegirl

    hilo ndio neno au wekeni h/girl na h/boy
  3. S

    Mama mkwe

    hukuelewa mada kosa la mume mama mkwe hapaswi kufurahia uozo huo labda kwa mama mkwe aliyekwisha wahi kuzaa na mume wa mtu. Nijuavyo alipaswa kumkanya mtoto wake badala ya kutetea. Hapo mke nae akizaa mzungu mama mkwe atalaumu nini wakati kosa la mwanae hakuliona
  4. S

    Mama mkwe

    Hi wapendwa wangu! Jamani nisaidieni mwanaume kuzaa nje ya ndoa halafu anaomba radhi kwa mke wake na mke anamsamehe kwa moyo mweupe na kumweleza amlete mtoto nyumbani wamlee pamoja. Baada ya mke kuuliza kama alishawaeleza ndugu zake mume alikataa katakata na akaleta mtoto wakisubiri siku wawaite...
  5. S

    Nampenda sana mume wangu lakini kanikatisha tamaa, nimelazimika kujitenga nae.

    umesema kweli kabisa mijanamme mingine tabia za kutofunga zipu wamerithi kwa wazazi wao haina dawa la msingi songa mbele atakutia gonjwa upoteze maisha uwaache wanao taabuni. Wanaume kama hao hata maendeleo huwa hawana kabisa
  6. S

    Nampenda sana mume wangu lakini kanikatisha tamaa, nimelazimika kujitenga nae.

    umesema kweli kabisa mijanamme mingine tabia za kutofunga zipu wamerithi kwa wazazi wao haina dawa la msingi songa mbele atakutia
  7. S

    Hatimae mke wangu kasalimu amri

    usizuge kwa kususia tendo la ndoa sema wewe ni kati ya wale walioishiwa na nguvu za kiume
  8. S

    Natafuta wateja

    Hotel ina nyota moja, vyumba 67, parking ipo. Rate ni single 50,000 tshs, double ni 65,000 na suite ni 90,000. Kwa mawasiliano zaidi nipigie simu tafadhali
  9. S

    Natafuta wateja

    Mimi ni sales and marketing manager wa hotel moja hapa dsm. For both resident and non resident. Hotel iko mnazi mmoja area, vyumba ni vizuri na safi. Breakfast ni free, vyumba vyote vina maji moto, wifi internet, dstv, air condition. Tunatoa huduma ya ufuaji pia room service hutolewa kwa wale...
  10. S

    Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

    mwigulu ni mshamba tu hana sera
  11. S

    Hotel manager

    Jamani natafuta kazi lakini iwe mkoa wa dsm,bagamoyo au morogoro
Back
Top Bottom