Recent content by startergear

  1. startergear

    JamiiForums Tanzania FT: Kariakoo Derby | Simba 2-1 Yanga | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 10.10.2026 |

    Ukikumbuka wewe inatosha
  2. startergear

    JamiiForums Tanzania Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Bigger and stronger dogs always leads smaller and weak dogs
  3. startergear

    JamiiForums Tanzania Siri ya Utajiri wa Israel: Akili Badala ya Madini

    Hizo habari tumesoma toka tukiwa shule kipindi hicho tupo hot kufuatilia conspiracy theories. Kama wewe ndo unaanza muda huu pole Sana. Halafu elewa swali uliloulizwa na utoe majibu sawa sawia. Umeulizwa Kwa nini huo upendeleo anaopewa Israel msipewe nyie Tanzania? Kuna ugumu gani kujibu hapo
  4. startergear

    JamiiForums Tanzania Siri ya Utajiri wa Israel: Akili Badala ya Madini

    Acha ubwege! Kwa hiyo Israel ana uspesho gani mpaka USA na EU wamshokee hivyo? Kwa nini wasiipe Tanzagiza hiyo unconditional aid?
  5. startergear

    JamiiForums Tanzania Tunajua Dr. Nchimbi kalazimishwa kujiuzulu na hili linaweza kuwa ndio chanzo cha mpasuko mkubwa ndani ya CCM utakaomwondoa Samia madarakani

    Oktoba 29 pande zote hazikutegemea... Serikali iliunderstimate raia, Pia raia hawakuijua nguvu ya dola..🤣🤣 ila baada ya pale sisi raia ni kama somo limetuingia barabara.
  6. startergear

    JamiiForums Tanzania Tunajua Dr. Nchimbi kalazimishwa kujiuzulu na hili linaweza kuwa ndio chanzo cha mpasuko mkubwa ndani ya CCM utakaomwondoa Samia madarakani

    Hakuna Mwenye uhakika kwamba aliuwawa. Maana alikuwa na maradhi mengi makubwa makubwa Tu!
  7. startergear

    JamiiForums Tanzania Israel ilivyomuokoa Trump mikononi mwa mahasimu wao wa Iran ambapo Trump alikuwa auwawe

    Ni kweli hawa siyo wayahudi waliozaliwa Israel ila history yao ilikuwa well documented....walijuwa their ancestry origin. Siyo kama wewe mmatumbi hujui ulipotokea ukajikuta upo Tanganyika na umeandikiwa history yako na wanaume wa Ulaya
  8. startergear

    JamiiForums Tanzania Esma platinumz; Diamond ni ndoto ya kila mwanamke ukinitoa mimi dada yake

    Halafu mbona kana mdomo mzuri kuliko kaka Yake? Au ni kaka wa kufikia
  9. startergear

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lucy Komba: Naomba msamaha kwa maandamano ya mwaka jana

    Mbona mnakwepa swali la wajibu!? Una haki ya kuandamana ndiyo hatukatai....je Una haki pia ya kukata watu vidole? Au kuchoma sheli za watu? Au majengo ya serikali?
  10. startergear

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo Fleva kwanini mnapiga kelele wakati wa kuimba?

    Kumbe hii ndiyo ID yako Mr. pimbi hater wa Ally na Harmo
  11. startergear

    JamiiForums Tanzania Iran wameapa kummaliza Trump

    Wameshindwa kumuua Netanyahu pua na mdomo.
  12. startergear

    JamiiForums Tanzania Maandamano yamefanikiwa

    Kwa hiyo Samia ameshakimbia nchi? Hujui kwamba watawala hawajali hilo!? Usipotoka kuandamana anabaki kuchekea chooni 😜😜😜😜. Ukitoka kuandamana ukipona pona Sana unarudi kilema.
  13. startergear

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri Sasa Waandamanaji wanaogopwa kuliko Jeshi

    MTU aliyevuta bangi akichoma choma hovyo miundombinu, shule na biashara za watu.....Kwa nini usimuogope!? Huyo unachokifanya ni kutompa nafasi akufanye wewe ngao unamwacha atoke akapambane na vijana wa Samia Kama yeye anauchungu angetoka bila kuvizia raia wasiokuwamo wampe kinga.
Back
Top Bottom