Mjadala wa mitaani leo kuhusiana na picha hii ni kuwa baada ya hawa jamaa (Wazungu) kufyonza madini kwa sana sasa wanataka gesi na mafuta kwa hivyoo wazungu wako tayari hata kumbeba mkulu kama walivyokuwa wanabebwa masultan enzi ya utumwa. Wengi wanasema heri hata chief Mangunga kwani hakuwa na...
Watanzania wenzangu mabadiliko ya kweli ya taifa hili hayataletwa na vyama vya siasa tunaona njia ileile CUF waliyopita CHADEMA wanaifuata. Kweli viongozi wote wa siasa bongo ni sawa na wachojali ni maslahi binafsi. Real Changes italetwa na watanzania watakapoamu kufanya hivyo na siyo vyama vya...
Watanzania wenzangu mabadiliko ya kweli ya taifa hili hayataletwa na vyama vya siasa tunaona njia ileile CUF waliyopita CHADEMA wanaifuata. Kweli viongozi wote wa siasa bongo ni sana na maslahi binafsi. Real Changes italetwa na watanzania watakapoamu kufanya hivyo na siyo vyama vya siasa. Kwa...
Watanzania wenzangu tumeona hali ilivyo CHADEMA inafanya yaleyale ya CUF. Madiliko ya kweli ya Taifa hili hayataletwa na vyama vya siasa. Hizi porojo za kitoto. Hakuna wapinzani wa kweli nchi hii wote maslahi binafsi
barabara bado haijafunguliwa wameondoa kibao tu kinachoonyesha barabara imefungwa. Hii ni dhambi ya ubinafsi inawatafuna baada ya kugawana nyumba za serikali poa sasa wameamua kuchukua barabara za umma kuwa mali yao hakika hii dhambi ya ubinafsi itawaua ccm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.