Recent content by Starkwood

  1. S

    JamiiForums Tanzania VIBALI VYA BIASHARA YA TUMBAKU TANZANIA, na upatikanaji wake.

    habari ndugu zangu. naomba kujua vibali vinavyohitajika hapa Tanzania ili kuniwezesha kufanya biashara ya TUmbaku ndani na nje ya Tanzania. ( kununua na kuuza nje ya Tanzania)
  2. S

    JamiiForums Tanzania Internet service provider

    Goba je?
  3. S

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Dah unakosea sana Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sakata la Roma Mkatoliki: Waziri Mwakyembe amtolea uvivu Juma Nkamia

    Hahahaha dah
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye amkabidhi Ofisi Waziri Mwakyembe kwa bashasha na furaha

    nape yupo dodoma anakabidhi ofisi, sio dar. au umesahau wizara zimehamishiwa dodoma
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Mh. Mbowe uso kwa uso leo

    viongozi wa dini ndo wamewaita wenyeviti wa vyama
  7. S

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me

    HAPPY BIRTHDAY COMRADE, LONG LIVE TO SEE YOUR GRAND GRAND DAUGHTERS MARRIED TO MY GRAND GRAND SONS.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ninataka kuanzisha "ATM ya vyakula"

    haitaitwa ATM (Automated Teller Machine) itabidi iitwe AFM (Automated Food Machine)
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani ni uzungu au maana na huku siku hizi imekua fashion

    jana mwanamke wangu ananiambia twende dukani tukanunue condom kufika pale anaulizia na baby care.. dah sikuwa na namna nyingine nikaongeza hela kununua hiyo baby care
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani ni uzungu au maana na huku siku hizi imekua fashion

    hii inaenda na mabadiliko ya tabu ya nchi hahaha
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji (TIC), Bi. Juliet Kairuki atenguliwa

    dah tanzania nchi ya ajabu sana, yaani kuna wafanyakazi hewa wanaochukua mshahara na kuna wafanyakazi wanafanya kazi lakini hawachukui mshahara.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Picha Rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakayotumika kwenye Ofisi

    sisi pia tumeweka ya lowassa cause ndo naamini ndo raisi wetu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha Car Rental in Iringa Region

    Mambo vipi wadau, nimekuja mbele yenu kuwaomba ushauri. Biashara ya kukodisha magari kwa dar es salaam ni kati ya biashara zinazolipa sana. kwa wale wadau wanaoishi iringa au waliowahi kufika iringa. Je nikianzisha biashara kama hii ya kukodisha magari kwa mji wa iringa italipa au. naombeni...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kujiajiri

    kula millioni
Back
Top Bottom