Recent content by StanyHD

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa nikisikia wataalam mbali mbali wakisema kuwa vifo vingi vinatokana na utaratibu wa watu kutofanya check up

    Nimekuwa nikisikia wataalam mbali mbali wakisema kuwa vifo vingi vinatokana na utaratibu wa watu kutofanya check up za mala kwa mala,wanasema kuwa hata cancer ikigundulika mapema huweza kupona na magonjwa mengine mengi. Sasa naomba kuuliza, inafaa kufanya check up kila baada ya muda gan? Na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Samsung inahitajika

    Natafuta simu ya samsungu yoyote iliyo katika hali nzuri,,ofa yangu 80k. Mwenye nayo tuchekiane tufanya biashara
  3. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Sungura na Bata maji

    Masikini wana sababu kibao za kuwafanya waendelee kuwa masikini
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wale Wenye vyeti kuanzia form 4 to degree njooni na vyeti vyenu

    Wizi huuu
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naomba msaada wa gharama za tofali endapo nitatengeneza mwenyewe

    Ndugu zangu naomba msaada wa gharama za tofali za block endapo nitatengeneza mwenyewe na sio kununua. Juz nilienda kijijini kwetu ambako nataka nianzishe mradi wa kufuga nguluwe, hivyo nikaenda kuuliza bei ya tofali za block kwa ajiri ya ujenzi wa mabanda na nyumba ndogo ya wafanya kazi,cha...
  6. S

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI YA UALIMU

    Another maf Sent using Jamii Forums mobile app
  7. S

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI YA UALIMU

    Unaanzaje kupanic dhidi ya mtu aliyekatia tamaa maisha yake, anashangaa hata mtu kusoma kenya wakati watu wanasoma England toka primary Sent using Jamii Forums mobile app
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Fanya kaz, usitake wepec kwenye maisha Sent using Jamii Forums mobile app
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Wewe n mmoja wa wez, walioikubali dhambi ya kuibia wagonjwa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Ach Acha kudanganya watu, mwenzio anaumwa wewe unataka akatapeliwe. Huyo angekuwa anaponya usingetakiwa umwambie mtu ila kila mtu angekuwa anajua, sio yeye tu wengi hujifanya wanatiba wakati ndugu zao wanateketea na huo ugonjwa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mimi ni muathirika wa UKIMWI

    Mwisho wa siku maisha lazima yaendelee, matibabu ya ukimwi kwa ulaya yameboreshwa sana, ukifuata taratibu utaishi maisha ya kawaida tu. Nadhani kuna magonjwa hatari kushinda hilo,mfano cancer Sent using Jamii Forums mobile app
  12. S

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI YA UALIMU

    Ni bora upige Kimya kuliko kuongea upuuzi kama huuu,, Mimi kusoma Kenya kimekuuma nini? Complication gan ambazo akili yako inazijua ukisoma nje?et ualimu unaendaje kusoma nje, kwahiyo kuna course zinakutaka usome nje na zingne usome nchini? Jinga moja wewe Sent using Jamii Forums mobile app
  13. S

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI YA UALIMU

    Bachelor of arts with education mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. S

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KAZI YA UALIMU

    Habari zenu wana JF, nina degree ya education kutoka chuo cha kenyeta university nairobi Kenya, natafuta kazi ya ualimu. Namudu kufundisha masomo ya arts Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom