Nimekuwa nikisikia wataalam mbali mbali wakisema kuwa vifo vingi vinatokana na utaratibu wa watu kutofanya check up

StanyHD

Member
Mar 31, 2018
25
45
Nimekuwa nikisikia wataalam mbali mbali wakisema kuwa vifo vingi vinatokana na utaratibu wa watu kutofanya check up za mala kwa mala,wanasema kuwa hata cancer ikigundulika mapema huweza kupona na magonjwa mengine mengi.

Sasa naomba kuuliza, inafaa kufanya check up kila baada ya muda gan? Na kipimo gan kinatumika kupima mwili mzima yan kila kitu? Gharama zinaweza fika hela ngapi? Hospital gan n nzuri kwa zoez hilo?

Thanx in advance
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
53,557
2,000
General check up ukifikisha miaka 40 unapimwa PB, urefu na uzito, macho kama unahitaji Miwani. Unaulizwa kama unatatizo mfano kichwa kuuma mara kwa mara unaweza kupimwa damu.

Kuna risk factors mfano Baba yako alipata tezi dume, Baba au mama alipata ugonjwa wa moyo au kisukari. Hapa age, na genes zinakuweka kwenye high risk. Kama uzito ulikuwa mkubwa na PB iko juu Hii ni risk factor nyingine, itabidi uwekwe kwenye uangalizi wa karibu.

Ushauri kuhusu vyakula na mazoezi utatolewa.
 

busha

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
1,699
2,000
hau ww kama kapuku na huna kitu kama akina sisi basi ww piga sana matizi kunywa maji mengi rishe bora,alafu skilizia,,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom