Recent content by Standards

  1. S

    JamiiForums Tanzania Waitara aanza kwa kishindo Buyungu

    Majibu hapa hapa Duniani Mungu ampige zaidi na kuwa kipofu awe.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wanaofikiri CHADEMA inakufa waangalie mafuriko ya leo Tarime Kata ya Turwa

    Jipya ni Ccm kuwaamini zaid nyumbu kiasi kwamba wanakabidhia teuzi mbalimbali
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wanaofikiri CHADEMA inakufa waangalie mafuriko ya leo Tarime Kata ya Turwa

    Wazee wakutegemea jeshi la polisi ilikujisifu Ccm mnashida sana, oneni aibu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya mabadiliko: Amteua Ally Hapi kuwa RC Iringa; Jokate, Jerry Muro, Katambi wawa Wakuu wa Wilaya

    Bado bado aendeleze kupiga soga nakujitoa akili
  5. S

    JamiiForums Tanzania CCM kupita bila kupingwa katika uchaguzi utakaofanyika Agosti 12, ukweli wenyewe ndio huu

    Mkuu haupo serious 2020, jeshi na. Wakurugenzi watatumika kushindisha. Kushinda ccm sio kipimio chakupendwa sababu ushindi wakuiba kura hauwezi kuwa kipimo sahihi.
  6. S

    JamiiForums Tanzania CCM kupita bila kupingwa katika uchaguzi utakaofanyika Agosti 12, ukweli wenyewe ndio huu

    Unamaana kushuka asimilia za kupendwa magufuli sio kweli?
  7. S

    JamiiForums Tanzania CCM kupita bila kupingwa katika uchaguzi utakaofanyika Agosti 12, ukweli wenyewe ndio huu

    Ukweli unajitabanaisha kwamba, udhalilishaji, ukandamizaji, utesaji na kupora haki vinabaraka za mkuu kupitia:- 1. Vyombo vya usalama yaani dola Tumeshuhudia RAIA wakipigwa bila sababu za msingi kwa visingizio vya kuhatarisha amani, wakiuwawa, wakiteswa nk. Hakuna anayewajibishwa upande Wa...
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afande sele aachia bonge la ngoma isikilize hapa

    Akili zake kama malasta yake mparaganyiko Wa fikara za ze,eta
  9. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania tutakubali Rais Magufuli ashauriwe, hatutakubali atukanwe

    Wewe hujitambui na unaandika kishamba hata ukirudia kusoma ulichoandika akili zako mwenyewe zinakusuta 1. IGP anapewa Masaa 12 kutafuta mbwa na wateule Wa rais - Ben SAA nane na mbwa kipi bora - Tundu lisu na mbwa kipi bora 2. Katiba yetu inatoa mamlaka ya kutoa na kupashana habari kwa Uhuru...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya language na kiswahili, ni somo gani rahisi kufaulu A-level?

    Ugumu Wa Language nini dhidi ya kiswahili? Maana sijeelewa hiyo language ninini?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya language na kiswahili, ni somo gani rahisi kufaulu A-level?

    Mtoa Mada fafanua Language unamaanagani hasa?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo: Wauaji wa Akwilina Akwiline, Daniel John wanajulikana

    Hakuna mwanadamu yoyote alieishi milele Wababe wote walikatiza wengine kwa vifo vya aibu Hiii Ccm haitaishi milele Nao wauwao na kutesa wengine pia watakufa Eleweni kilichonamwanzo lazima mwisho upO. Teteeni ushenzi kwa kuwa ushenzi ni desturi ya washenzi
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Unafikiri Hapa Kipanya Anamaanisha Nini!?

    Sasa hivi atapigwa kufuli Mkuu wangu P Mayalla teyari
Back
Top Bottom