Doto biteko, majaliwa kassim majaliwa, hussen ali mwinyi, george simbachawene,
Hawa ni watu wasafi na wazalendo, hawana harufu ya ufisadi wala uchawa. Naamini watanzania wanahitaji sana watu kama hawa!
Magufuli ndiye alianzisha?! Umesahau ya Dokta Ulimboka alipo amasisha mgomo wa Madaktari?! Alivyotekwa , kuteswa na kung'olewa kucha na meno bila ganzi?! Akaenda kutupwa msitu wa Mabwepande enzi za Jakaya Kikwete!!
Au ulikuwa bado haujazaliwa dogo?!
Facts tupu!
Hii imenikuta sana!
Hasa jamii zetu hizi za kiafrika!!
Tumejaa wivu, kijicho, roho mbaya, majungu na unafiki, hatutaki maendeleo ya wengine, mwenzako akifanikiwa kidogo tu kosa! Roho inakunyongorota mpaka unapata kiungulia.
Kuanzia majumbani, maofisini watu wanapigana majungu...
Tatizo la maji Dar es salaam halijaanza leo wala jana. ni tatizo linalojirudia rudia mara kwa mara, na hakuna hatua mujarabu inayochukuliwa kama mwarobaini wa kukomesha kabisa na kutokomeza janga hili.
kama tatizo ni kupungua mto Ruvu mara kwa mara kutokana na mabadiriko ya tabia nchi, kwanini...
Mtandao ukizimwa vpn haifanyikazi, labda wazime/ wafungie apps, kama x, insta, whatsapp, tiktok etc hapo utaweza kuzipata via vpn, lakin wakizima mtandao wote kwa jumla hakuna vpn wala ATM, wala huduma yoyote ya kibenk itakayokuwa inafanyakazi.
Tatizo lipo juu!
Kama kichwa ni kibovu, mwili wote utakuwa mbovu,
Mawaziri watapambanaje na walaji wakati ni wakubwa wao?!
Kauli mbiu yetu ni KAZI NA UTU ndio UTU wenyewe huo! wakipambana nao wataambiwa hawana UTU ni makatili kama mwendazake! au wanafukuza na kubughudhi wawekezaji...
Wewe ni mpuuzi, huna ukijuacho, avatar yako tu inaonyesha unachowaza kichwani kikoje. Usifananishe ardhi na financial institutions.
Dawa ya mpuuzi ni kumpuuza!
Wao waendelee kuua vikongwe wao na kufanya uchawi labda wataendelea.
Habari za kimei hawezi kufikia akili yake hata robo. Kimei kawazidi akili sana kama mbingu na ardhi ndio maana hawezi kumwelewa kamwe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.