Recent content by stambuli

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hii nasimama na Rais wangu - Tanzanian President Magufuli pardons child rapists

    Siasa si mchezo?,
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sababu gani hasa huwafanya wanawake kuwa wasagaji?

    Si mchezo
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hongera Dr. Mwakyembe, hongera TRC

    Hongera Dr. Harrison Tunahitaji watu mfano wako wa kuamini kuwa inawezekana na kujitahidi kuonyesha vitendo utekelezaji wa sera ! badala ya malumbano na malalamiko.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Kamanda Barlow Unatisha! Soma hapa...

    Kweli Uadilifu ni bidhaa adimu !
  5. S

    JamiiForums Tanzania Jahazi limezama huko tanga kafa mtoto na watu saba waofiwa kufa maji

    Mungu Tunusuru ,ilikuwa bora kuzuiwa usafiri yako wa lazima mpaka upepo upungue,hali ya hewa wapo wapi !.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Porojo za Wassira kuhusu Dr. Slaa

    Ni sawa kwa Dr. kwani msomi ni mtu huru na si mfungwa. Anaweza kufanya hayo kwa uelewa wake mpana , ila angalizo tu ni kuangalia taswira anayoitoa kwa jamii, kwani jamii inajifunza kwake. Watanzania wengi kiwango chao cha elimu na uelewa si kikubwa hivyo.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa mgeni rasmi harambee Jimbo Katoliki Ifakara

    Mikakati mizito na baraka za kanisa ,mambo poa,nilimuona pia katika maulid day,ana mikakati,
  8. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa mgeni rasmi harambee Jimbo Katoliki Ifakara

    Huyu jamaa lazima achukue
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nape mnafiki? Sasa amsifu Rostam hadharani huko Igunga

    No comment,
  10. S

    JamiiForums Tanzania Baraza la Iddi: Mahakama ya Kadhi ni suala la Waislamu wenyewe - Kikwete

    wajameni kwani mahakama itakayowahusu waislamu na masuala yao bila kuingilia uhuru wa watu wa dini nyingine ina ubaya gani?,au wakristo wanahisi wataathirika na nini?,nadhani ni bora tusikilize chimbuko la machungu na ghadhabu za upande huu!,
  11. S

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai Umetukatisha Tamaa

    poleni sana,wawajibikaji wapo na mnawajua,wachagueni
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    kwani hatuna watu wapya hata nje ya"currentsystem"?
Back
Top Bottom