din zililetwa na wakolon waafrika tulikuwa na iman zetu chukulia mfano zaman watu wakiomba mizimu kuhusu jambo flan huwa linakuwa kweli hapo din ni kuwanufaisha wachungaji
Kwaiyo mnataka kumaanisha kuwa MUNGU wa dunian hayupo jalibuni kufikilia wewe dunia ilijileta na ninini chimbuko la binadam si adam na kama GOD wa dunia hayupo kwann shetan yupo??¿
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.