Recent content by st44273

  1. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KAMCHAPE wanatutishia maisha Wananchi wa Buhigwe (Kigoma), tunaishi kwa hofu. Polisi wapo kimya

    Please naomba namba yako in box kwa hatua fulani
  2. S

    JamiiForums Tanzania Leo nimeokoka na kumkabidhi Yesu maisha yangu

    Umechagua fungi jema,wewe uwe mwaminifu na mtulivu katika Kristo naye atakutunza salama, hatakuacha daima.
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya makucha huwa yana faida gani kwa wanawake?

    Inafikirisha sana
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya makucha huwa yana faida gani kwa wanawake?

    Fact
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Mkuu samahani kama nimekukwaza, lakini kutoa tu support kujenga nyumba ya Bwana kunamzuiaje mtu kutubu dhambi zake (kama anazo)? Tafadhali hata wasiomjua Mungu wanaweza kutumiwa kujenga ufalme, karibu na wewe mkuu wangu tusaidiane kuujenga ufalme.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Mh Mwigulu heshima kwako mkuu, Mimi ni mwananchi na mpiga kura wako. Ninafarijika sana kukuona hapa jukwaani, hakika tulio wengi tuna imani na wewe. Mh naomba nitumie fursa hii kukukumbusha,mimi ni mshirika wa kanisa la FPCT Kiomboi karibu na idara ya maji mtaa wa lulumba kwa mchj Lazaro...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio fursa 150 ambazo unaweza kuingiza kipato

    Huwa zinatumia betri ya kuchaji.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Calculation ya GPA ya mwaka wa tatu kwenda degree Clinical Medicine inakuwaje?

    Hakuna degree ya clinical medicine
  9. S

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Badilikeni: Acheni kufanya kazi kwa mazoea

    Naunga mkono hoja,hivi inaingia akilini mtu unaenda ku renew passport ambayo umekaa nayo miaka nenda rudi,una national id bado unawekewa mizengwe mara oh we will mtanzania,mara uje na invitation letter na visababu vingi tu ambavyo havina msingi wowote. Ingekuwa vizuri utoaji wa passport...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Taja members watano walionogesha zaidi jukwaa la michezo kwa mwaka 2019

    Uko vizuri mkuu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Muhimbili kuna utaalamu, dawa na vifaa tiba vya kutosha? Mbona majeruhi wengi wa moto wa lori la mafuta wanafariki?

    % ya burn kwa wengi ilikuwa zaidi ya 50 which is fatal. Lakini pia wengi wali inhale moto/smoke kwahiyo wanapata pulmonary complications which means chance ya kuishi ni kidogo sana.
  12. S

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Hongera sana
  13. S

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Fatilia rafiki, mimi mke wangu (mwalimu) barua yake ya uhamisho imetoka wiki iliyopita.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Bila ma-DC na ma-OCD, CCM ni kama maji ya kunawa

    Duh! Hii ni kali
Back
Top Bottom