Recent content by St. Paka Mweusi

  1. St. Paka Mweusi

    Kanisa katoliki linahitaji reforms

    Easy si wakaongee misikitini tu. Kwani lazima waongelee Kanisani..??
  2. St. Paka Mweusi

    Sifurahishwi na dhihaka zinazofanywa dhidi ya Wasukuma Mitandaoni

    Achana nao babu.. Ni washenzi tu hao ambao hawana ujanja wowote wa kumzidi Msukuma
  3. St. Paka Mweusi

    DOKEZO Wizara ya afya fuatilieni yanayoendelea Kwa waganga wafawidhi wa hospitali za rufaa wamegeuka miungu watu

    Hii nchi Sasa ishakuwa ni nchi ya washenzi.. Kila mahala yamejaa mashenzi yasiyo na utu..
  4. St. Paka Mweusi

    Ole wako ukioa! Biblia Takatifu imesema yote

    Imeandikwa.. ISHINI NAO KWA AKILI.. Ndoa ni kwa ajili ya wanaume Wenye akili tu.. Nyie msio na akili endeleeni kukataa ndoa.. Sababu hata mkioa mtawasumbua watoto wa Watu..
  5. St. Paka Mweusi

    Hayati Mkapa pekee ndiye angeweza kufanya mdahalo na Lissu

    Kuna huyu Bwana mdogo Humphrey Polepole.. Naye ni balaa kwa Midahalo
  6. St. Paka Mweusi

    Mdude Katekwa, mjumbe, mwenyekiti wa mtaa na mbunge wa Jimbo lake walipaswa kuwa mstari wa Mbele kupigania upatikanaji Wake.

    Hoja Ina nguvu.. Lakini pia itategemea na mwananchi anavyooshi na jamii na viongozi wake wa ngazi za makazi na mtaa..
  7. St. Paka Mweusi

    Alipambana Kuilinda Katiba Mtu Awe Madarakani Kama Isemavyo, Lakini Aliyepiganiwa Anasema ni Kitabu tu. Nani Tumlaumu?

    Hapaswi kulaumiwa hata kidogo.. Aliilinda Katiba.. Japo waliotaka kuvunja Katiba walikuwa wazalendo zaidi na waliona mbali zaidi yake..
  8. St. Paka Mweusi

    Ali Kamwe: Simba atafungwa nje ndani na Berkane

    Wewe ukizeeka utakuwa mchawi..
  9. St. Paka Mweusi

    Wanaume wa enzi hizo mpo bado au yalishawafika? Tujuzane!

    Siku hizi wanakwambia huo ni uoga wa maisha.. Ununue kiroba cha unga kwani kwako stoo..??
  10. St. Paka Mweusi

    Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

    Historically all falling regimes planted seeds of their own destraction.. Being the case even this regime is doing the same.. Let us just wait and see.. The Clock is ticking.. It is just a matter of time..
Back
Top Bottom