Ali Kamwe: Simba atafungwa nje ndani na Berkane

Ali Kamwe: Simba atafungwa nje ndani na Berkane

Kuna siku Kamwe alizimia Manara akampiga dole la kati,kamwe akashtuka ghafla kwa nguvu kubwa.

Manara akasema huyu ana act huwa azimii kweli.
 
Sisi mashabiki wa Mnyama hatuna baya zaidi ya kusema Kila la heri Simba.

Ubaya ubwela msimu huu ulipeleka vilio mpaka CAS, hatuna deni.
 
Yaani hawa Utopolo, sijui wana kiwewe cha nini....
1. Wamejiona wajinga mechi kuahirishwa tarehe 8.
2. Wakadai Simba imewakimbia Bodi ikasema hapana ni ujinga wenu, imeahirishwa.
3. Wakaichachamalia Bodi, ikasema mechi imeahirishwa tutapanga tarehe nyingine.
4. Wakamgeukia Karia, akawapa neno moja tu. Hizo ni Sinema, mkimaliza mkacheze dabi.
5. Wakaona CAS ni jibu, wakarudishwa Bodi ya Ligi kwani huko napo wanajulikana ni Utopolo.
6. Bodi ya Ligi haikutaka kuendelea kujadili Utopolo, ikatoa ratiba ya dabi
7. Wakageukia kuchachisha viporo vya Simba likabuma, wakaviponza viporo vikaliwa kibabe na Mnyama
8. Wakageukia waamuzi kuwatukana na kuwakejeli. Haikusaidia.
9. Wameigeukia tena KMC kurejesha mchezo Dar badala ya Tabora na kuilaumu kwa kejeli. Imewapuuza.
10. Sasa wamekuwa watabiri na marafiki wa Rs Berkane.
11. Baadae watalishkilia na kulikumbatia tawi lao SBS kabla hajikatwa.
12. Mwisho, June 15 ni lazima ajitokeze mwenyewe mzimamzima. Kalagabaho
 
Laban unatia tu aibu mdogo wangu hata km ni ushabiki ila huo ni ujinga ,Ali kamwe ni mjinga kama wengine,muda wa kuomba Dua Simba ifungwe ningemshaur aiombee nafsi yake Dua ili amche Mola wae aliyemuumba,afanye yalo mema,dunia sio yetu hii
 
Sisi ni Utopolo kweli kweli. Tutaipokea Berkane airport na kuwashangilia.
1746857358316.jpeg
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
#AIBU FC
Yao yamewashinda wanawaombea wenzao mabaya badala ya kujifunza
 
Mimi hata simsikilizagi huyo Hali Kweme wenu ila ninachojua pale Morocco Berkane 1-0,Kwa Mkapa Simba 2-0 Kama hutaki kadandie Ndege pale Airport.
 
Kisaikolojia manara na ali kamwe ni simba wanatumia kila namna kuiiimarisha simba na hii ni njia moja wapo.
 
Back
Top Bottom