Billion 155 sio mchezo mzee. Hata ile pesa yetu tuliyokusanya kwenye daraja letu moja pendwa haijafikia pesa hiyo..
Nimejaribu kuangalia hiyo kampuni ya Betting nimeona ni matapeli. Pole sana mkuu.
Wewe endelea kukaa kujidanganya hapo , Badala ya Kuchukua Tahadhari. Halafu baadae unakuja kuilaumu hiyo hiyo serikali na Taasisi zake. Majanga yakishakupata.
Jamani Tuchukue Tahadhari na hii El Nino.
Kweli kabisa yaani watu huwa wamekaliaga lawama tu muda wote. Na ilhali ukija kuchunguza unakuta wao wenyewe ndio waliokosea au wamekiuka makubaliano.
Hivi kweli kuna watu wanaweza wakatoka majumbani kwao tu wakaenda kufunga biashara za watu bila sababu za msingi kweli.??
Habari hii ilipaswa kuusikia na Upande mwengine wa hao waliowafungia hawa wafanya biashara.
Maana hapa unaweza kukuta hawa walipewa taarifa rasmi na Barua na kukumbushwa hata mpaka jana.
Ila wabongo wanapenda kuleta mazoea mengi na Ubishi. Sasa wakija kufungiwa namna hii wanakuja kuanza...
Sasa Mkuu foreigner si ndio balaa kabisa. Maana hao wanakufunga kabisa na kukufilisi na kukunyima watoto. Kama utakuwa unakumbuka kisa cha marehemu kaka yetu Le Mubebez Superbrand mzee wa Mambelez, Mambo yaliyomkuta
Kwani imekuwaje tena kuhusu lema wakuu? Naona tu kila sehemu Lema Lema, Kwani amefanyaje tena. Au ni Umbea kutoka Marekani kwa dada au kuna taarifa gani rasmi?
Hapo unamfungulia kesi tu mahakamani, Unatoa Ushahidi wako halafu baada ya hapo Mahakama itatoa precedents.
So kwa siku za mbeleni kutakuwa na mipaka na haitatokea tena hii
Usiombe ukakutana na haya mabasi ya mkoani hapo barabarani. Yaani akiwa nyuma yako ni mateso na akiwa mbele yako ni mateso. Wanasumbua sana barabarani na wana overtake kwa uzembe mkubwa sana
Hii ilimtokea mama watoto pia , Miaka hiyo nakumbuka alikuwa hataki kuoga wala kufua nguo zake zozote yaani mpaka za siri, wala kuosha vyombo hataki. Yaani nilisafiri nikarudi nakuta nyumba inakaribia kuoza.., Shikamoo MIMBA
Mkuu, Tunaomba basi namba ya Huyo jirani. Maana kwa namna umemuelezea na mm nimetamani.
Ila all in all usiwe na shaka Huo ndio uwanaume, Ni kawaida kabisa. Na ni kawaida kabisa pesa zako kuishia kwa wanawake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.