Ndo tatizo la watanzania, sio wabunifu, wamekremisha kampeni, unatakiwa uandae ilani ya uongo ka ya ccm na kuanza kuimba kwenye majukwaa kama zezeta..bahati mbaya tanzania inabaadhi ya vijana wenye IQ ndogo, ukichanganya na shule ya kukariri inawafanya wanakuwa kama makondoo, wakisikia kitu...