Samia Suluhu: Ukipewa pesa chukua kura kwa CCM

Samia Suluhu: Ukipewa pesa chukua kura kwa CCM

Jimmy Kadebedebe

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
468
Reaction score
191
Ni jana wakati mgombea mwenza huyu wa Magufuli alipokuwa anaelekea wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro alitoa kauli hii kwa Wananchi wa Wilaya ya Mwanga.Ndipo nilipojiuliza kuwa juzi tu wakati wa ufunguzi wa kampeni ya ccm walisema watapambana na rushwa, sasa je hapo haoni amehimiza rushwa kwasababu kutoa na kupokea rushwa yote ni makosa.

My take: CCM hata ikirudi madarakani kwa awamu nyingine haiwezi kukomesha rushwa.Samia Suluhu badilisha kauli kwani hujaonyesha nia ya kupinga rushwa bali kuchochea.
 
ccm wamechanganyikiwa na kupanic sana, alafu lowasa taratibu, anawaacha wabtatuke kila kitu akija, anapita juu na sera za ukweli za KUIKOMBOA nchi..lowasa ni hatari sana..
 
Kama ana shindwa hata kuwajua watoa rushwa kuwa ni CCM wenyewe basi hafai hata kupewa kura ya muuza pombe.
 
Suluhu ni suluhu ya matatizo ya wanawake Tanzania. Go go Suluhu!
 
Back
Top Bottom