Mimi pia nina wazo la kufungua duka la namna hii, ila ninampango wa kuajir mtu coz mm ni mtumishi mahali pengine, mtaji wangu ni 5m, nishawah kukaa dukan kwa wazaz, naomba kujua kwa uzoef wako kama hiyo hela itatosha.
Kaka niko moshi ninataka kufanya hii biashara ,tafadhali heb naomba muongozo kidogo ktk kupata vitu kutoka dubai kama ninaweza pata mtu wakunitumia mzigo,na vp mtaji wa kati unaweza kua bei gan,plz ndugu i real insist
hello guyz, nahitaji kufungua salon ya kike katika mji wa MOSHI, plan yangu pia ni iwe pia inatoa huduma za bidhaa mbali mbali related na solon ya kike, ombi langu ni kutaka kujua kutoka kwa watu wazoef ni changamoto gani ninaweza kumbana nazo na utatuzi wake ukizingatia mimi ni kijana wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.