Kuhusu biashara ya vifaa vya simu

Valsava

Senior Member
Aug 16, 2015
154
110
Napenda kujua mengi zaidi kuhusiana na bei ya vifaa vya simu pale KARIAKOO kama vile
1.betri za simu za button,
2.chaji za aina zote(za kichina na original),
3.earphone pini kubwa na pini ya jembe(za kichina na original),
BEI ZAKE NI ZIPI?,NA ZINAPATIKANA KATIKA MADUKA GANI YA JUMLA
nawatakia wikiend njema
 
Mkuu nicheck kwenye whatssap 0785-074040 nikuunge kwenye group la biashara na wajasiriamali utatatuliwa shida yako fasta na wajasiriamali.
 
kuna jamaa ninae pale kariakoo msimbazi karibu na steps ana maduka ya vifaa vya simu na ni fundi unaweza anza nae maana anauza kwa jumla yule ukitoka duka la steps kuna lango pembezoni kuingia ndani nyosha mbele hata ukiulizia SULE utaelekezwa yupo kitambo mle au nipm nikueleze vizuri
 
Naomba no yake mkuu natafuta betri ya simu htc 816
 
Mkuu nicheck kwenye whatssap 0785-074040 nikuunge kwenye group la biashara na wajasiriamali utatatuliwa shida yako fasta na wajasiriamali.
niunganishe na mm ndugu nahitaji kujua sana kuhusu biashara ya phone accessories 0653031100
 
Back
Top Bottom