Nataka kufungua Saloon ya kike nipo geita kijijini lakini si Sana, mtaji ni 2m, naomba mchanganuo wapendwa kwa wenye utaalam na uzoefu naomba tusaidiane kwenye hili.
hello guyz, nahitaji kufungua salon ya kike katika mji wa MOSHI, plan yangu pia ni iwe pia inatoa huduma za bidhaa mbali mbali related na solon ya kike, ombi langu ni kutaka kujua kutoka kwa watu wazoef ni changamoto gani ninaweza kumbana nazo na utatuzi wake ukizingatia mimi ni kijana wa kiume,single,na mwajiriwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.