Natafuta software za kutunza mahesabu ya biashara

CAVENDISH

Member
Jul 23, 2015
29
5
Heshima mbele!
kichwa cha habari chahusika, naamini huku JF kuwa wataalam wakutosha, natafuta software ambayo inaweza kunisaidia kutunza mahesabu ya biashara na kunipa taarifa ya mauzo kila siku ikiwa ni pamoja faida, stock iliyopo na kadhalika
Shukrani
Cavendish
 
Nenda instagram mchek mtu anaiitwa problemsolved! Ndo mtaalam pekee wa hyo mambo
 
Pole sana ndugu, na msaada ulioupata nathan ni mzuri kukufikisha unakotaka kwenda. Kwa msaada zaidi twaweza wasiliana ili upate uelewa mzuri wa jinsi gani waeza zitumia hizi software kufanikisha lengo na kuweza kuendeleza biashara zako. Tutakupa ushauri pia mana sio kila software inakufaa.
tuwasiliane: 0717 718519
tuandikie:training @comskills.co.tz
tembelea:www.comskills.co.tz
Tupo makumbusho bus stand 2nd Floor
karibu sana
 
Heshima mbele!
kichwa cha habari chahusika, naamini huku JF kuwa wataalam wakutosha, natafuta software ambayo inaweza kunisaidia kutunza mahesabu ya biashara na kunipa taarifa ya mauzo kila siku ikiwa ni pamoja faida, stock iliyopo na kadhalika
Shukrani
Cavendish
Tally ndio suluhisho la kazi zako zote, nitakuwekea na kukuelekeza kwa muda wa week 2, utaitumia kwa shughul zako zote, ni pm
 
Heshima mbele!
kichwa cha habari chahusika, naamini huku JF kuwa wataalam wakutosha, natafuta software ambayo inaweza kunisaidia kutunza mahesabu ya biashara na kunipa taarifa ya mauzo kila siku ikiwa ni pamoja faida, stock iliyopo na kadhalika
Shukrani
Cavendish
Pole ndugu. Jaribu ushauri uliopewa hapo juu. Kama utahitaji software ya kuweka kwenye simu na kwenye compyuter tena isiyohitaji server nitafute nikupatie sage one accounting kwenye :0713-039875
 
Sasa wewe mwenye hizo soft ware hii ilikuwa ni fursa kwako ilitakiwa utangaze hapa wazi

Utoe maelezo ya kutosha na bei yake
 
Heshima mbele!
kichwa cha habari chahusika, naamini huku JF kuwa wataalam wakutosha, natafuta software ambayo inaweza kunisaidia kutunza mahesabu ya biashara na kunipa taarifa ya mauzo kila siku ikiwa ni pamoja faida, stock iliyopo na kadhalika
Shukrani
Cavendish

Contact me 0714-087253
 
Back
Top Bottom