Huyu dogo huwa namkubali sana...hatumii ubavu..kichwa sana..big up jerry..
Watz tumekuwa wapumbavu watu wanapenda kuomba omba..
Tunalipa kodi watu wachache wafanyakazi...mtu analima anauza mazao then bdae anaomba chakula chakula msaada..shit
Madalali kila sehemu, kutaka hela kirahisi...
Tuache...
Tusijidanganye, Marekani anafanya kazi na chama anachokielewa na kile ambacho kitasimamia maslahi yake...kesi ya nyani anapelekewa ngedere...
Marekani inakiamini ccm, kwa maslahi ya Marekani.
1)Nahisi huyu atakuwa yule mtoto wa kigogo aliyesimamishwa pale PSPF...anachezea akili za watu...
2) Pia hii mifuko sasa hivi inaushindani wa kupata wanachama...na PSPF inane wanachama wengi walimu, ambapo mifuko mengine haina..
Hizi propaganda ya LAPF.
Aliuliza kwanini serekali haileti feedback kuhusu maazimio ya bunge kuhusu sakata la Jairo?
Pinda akasema bado tunalifanyia kazi na tutaleta taarifa wakati wowote.
Mnyika akauliza swali la nyongeza "naomba waziri mkuu atuambie night lini, atoe tarehe au bunge lipi"
Pinda: wakati wowote kuanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.