Recent content by Spokesperson

  1. S

    Tazama hii, ninaamini utanisaidia! Ninakuomba tafadhali

    Ninashukuru Mkuu; bado ninajitahidi kadiri ya uwezo wangu kusonga mbele ili kukuza kiwango na weledi nilionao.
  2. S

    Tazama hii, ninaamini utanisaidia! Ninakuomba tafadhali

    Ahsante, ninazihitaji kuanzia sasa.
  3. S

    Tazama hii, ninaamini utanisaidia! Ninakuomba tafadhali

    Ninapenda sana kuandika, na ni professionally schooled on it. Mimi ni graduate wa BA English Linguistics. Ningependa kupata kazi kama contributor wa magazine, online source/website au newspaper yoyote kwa muda wangu wa ziada as I am working now. Kuhusu muda, I am an excellent time manager who...
  4. S

    Kupata chumba NHC

    Hhahahaha, twenzetu wote kavp
  5. S

    Kupata chumba NHC

    Habarini wadau, Mbele yenu ninahitaji kupata chumba kimoja tu cha kuishi pale Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Shekilango au hata popote pale karibu na mji. Nimesikia kuna ukiritimba na utapeli uliokithiri pia. Sasa ninahitaji msaada wa mtu yeyote kuniwezesha (kama inawezekana) kupata chumba...
  6. S

    MSAADA: TST score ndo nini? Nimeambiwa nipeleke baada ya kutuma maombi

    Hi wadau, nimetuma maombi ya kazi ACCOUNTANT na kuambiwa nipeleke TST SCORE mwisho kesho saa 4. Siifahamu; nisaidieni ndio kitu gani hicho?
  7. S

    Je, Utanisaidia?

    Sana, kabisa kabisa!
  8. S

    Je, Utanisaidia?

    Habarini, ninafanya kazi katika kampuni moja hapa DAR. Kilochonileta hapa ni kwamba ninatafuta kazi ya ziada ya kuifanya ama usiku (kama nitaifanya kwangu) au siku za mwisho wa wiki (mahala popote) Elimu yangu ni BA in English Linguistics, na nina ujuzi wa Videography, Photography and...
  9. S

    Project volunteers needed for a very big project in Dar es Salaam

    About the company Bridge for Change is a youth-led NGO based in Dar es Salaam, Tanzania. The organisation is currently looking for qualified and self-motivated individuals to fill the position of Project Assistant Volunteers. Responsibilities related to the position are as follows: ...
  10. S

    PROOF READER(hata mabango na Tv Adverts), SPEECH WRITER,TRANSLATOR, & MOVIE SUB TITLE EDITOR

    Duh! We jamaa usiandike kiingereza, ni heri. Tuachane na hayo, ipi ni elimu yako?
  11. S

    PROOF READER(hata mabango na Tv Adverts), SPEECH WRITER,TRANSLATOR, & MOVIE SUB TITLE EDITOR

    ....when humble MEN SUBMITS to their... Hujui hata concordial agreement. Nina mashaka na hiyo proofreading yako kijana.
  12. S

    Msaada Interview

    .........................
  13. S

    Kuna mwenye kuwafahamu hawa consumer insight?

    Ninawafahamu; nimefanya nao kazi mara mbili: mwaka 2010 na 2012 kwa nafasi hiyo hiyo uliyoomba. Malipo yalikuwa ni TAS 7,000/- kwa siku. Kuhusu interview mimi sikufanya kabisa kwani nilikuwa na uhusiano wa karibu na Senior Official mmoja pale.
Back
Top Bottom